Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
ni vizuri kutahadharishana kwa kuambiana ukweli kwa upendo, na kuchukua hatua dhidi ya tahadhari hizo. Kupuuza, kushupaza shingo au kujipa moyo bila tahadhari, wakati mwingine ni kuweka kwenye hatari zaidi :putinWalk:
 
IMG_6707.jpeg
IMG_6708.jpeg

KWA SABABU POLISI WETU NI CCM HAKUNA KITU WATAFANYWA WALA KUHOJIWA !!! HII NCHI INAHITAJI NGUVU YA ZIADA KUTOKA HAPA
 
Kitima kashambuliwa!?

Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Wangeanza na Steve Nyerere
 
Polisi ni wahusika wakuu, hawawezi kumkamatana
 
Back
Top Bottom