johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Kamanda Muliro amesema Wananchi wamefurahia kuimarishwa kwa Ulinzi na wamekuwa wakipiga simu za pongezi
Muliro amesema Ulinzi huu hautokani na Chadema Kutangaza Maandamano bali ni katika Jitihada za Jeshi kufikisha Ulinzi hadi level ya Kata
Kamanda Muliro amesisitiza Maandamano ya Chadema yamepigwa Marufuku hivyo Jeshi litaendelea kuwalinda raia Wema Waendeleze Shughuli zao kama kawaida
Kama wewe siyo muhalifu huna sababu ya kuwaogopa Polisi unaowaona huko mitaani, amemalizia Kamanda Muliro
Source: Mwananchi