Kazi ya polisi ni kulinda raia wema sio kuua raia wema na halina huo mpangomuliro Utauwa Wangapi na ukishauwa hao wewe utaishi hadi lini?
Mjinga wewe vacuum wapi kwani JWTZ hawapo huko mikoani?Huko mikoani wameacha "vacuum"..
Askar wengi sana wameletwa dar!
Maandamano yakiwa organised nchi nzima, hawa mapoti hawatatosha kizuia, huu ukiritimba unatengeneza usugu!
Jeshi la akiba.Hapo shida Nini Sasa? Anakuwa kastaafu Kawa raia wa kawaida unatakaje?
Chapa rungu, mitama. Yaani nitafurahi sana kama mbowe aka dj aka mr zero aka gaidiSawa umemaliza kuandika?
Una hamu ya kupigwa mashineChapa rungu,
Ushachapwa rungu au unatafuta kuchapwa rungu nyambafuChapa rungu,
Mbowe ndiye mwenye hamu hahaha nasubiria kesho kwa hamuUna hamu ya kupigwa mashine
Unasubiri nini kwa hamu we mkaa uchi emu ficha uchi wakonasubiria kesho kwa hamu
Wauwawe tu wasituchafulie amani yetu keng haomuliro Utauwa Wangapi na ukishauwa hao wewe utaishi hadi lini?
Si ajabu ameshajificha.Mbowe ndiye mwenye hamu hahaha nasubiria kesho kwa hamu
Umesema?Murilo ni mbwakoko
Umesema?Mbwa Murilo anajisumbua sana.
Hajajificha yupo mnazi mmoja anasubiria kuyapokea hayo maandamanoSi ajabu ameshajificha.
Shida ni pale wanaposema Samia must goMbona juzijuzi waluandamana kila mahali na hawakupigwa marifuku. Maandamano ya sasa yana shida gani? Si polisi wawape ulinzi tu? Tena polisi ingejisafisha kuwa wao hawahusiki na utekaji na wangeomba raia watoe ushirikiano kuwabaini watekaji. Mbona ingekuwa power? Kutunishiana misuli mbona haisaidii kitu?