Kongwamaji
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 560
- 145
Siyo man made? Unamaanisha nini? Au zimetokana na nature kama ilivyo milima?RAV4 taa zake ni original siyo man made.
Watanzania kimombo kinatupa shida sana tunaishia kukariri, mambo mengine kama hatuelewi ni vizuri kuignore na kuyaacha kama yalivyo.Siyo man made? Unamaanisha nini? Au zimetokana na nature kama ilivyo milima?
Mm huwa naona huyu ney wa mitego kama msanii chiz fulani hivi, kwanza mlopokaji nk
Hivi una akili timamu ww aliyetoa maelaekezo huko juu ni nani acha upumbafu wa kijinga ww mnatumika vibaya una uthibitisho wamepewa maelekezo toka juu wakusanye pesa ya kujenga viwanda?
It's too muchina maana kukamata wanachagua sasa Mimi wataniacha kweli.
Mtoa mada huna haja ya kulalamika kama gari ilikuja na hizo taa, aliekuwa anaitumia hiyo gari yako ndio aliongeza hayo mataa, la kufanya ni kufuata maagizo ya jeshi la polisi tu.
Kusema ukweli kwa wanaosafiri usiku hasa barabara kubwa, pindi ukikutana na wajinga wenye haya mataa wakakupiga nayo ni lazima upaki, hata ukijifanya kumuwashia vi full light vyako ndio atakukomesha,
tena usiombe ukutane na ile milori ya kusomba mchanga au kokoto
Unafikiri kwa kutumia Naniliuu?Mkuu ni maelekezo toka juu ili zipatikane hela za kujenga viwanda,nilivyomuelewa kamanda taa zilizokuja na gari hazina Shida ila zile za kuongeza kwa kununua mtaa wa Lumumba ndo Shida,ila kwa sababu wanaojua wao na maelekezo toka juu zaidi wanafanya kila liwalo wa meet target
Kwa sasa naangalia AFCON baadaye nitakutumia
Hivi inamaana huyu mtu akilala na kuamka vibaya, kisha akatoa tamko kwamba ni marufuku mtu kuendesha gari huku amemepakiza mpenzi wake kiti cha mbele kwa sababu ni hatari kwani maongezi ya kimahaba yanaondoa umakini na kuweza kusababisha ajali, tutakubali tu au kuna utaratibu maalum wa kutunga hizi sheria? Mwenye kujua anisaidie
Wewe punga tuUnafikiri kwa kutumia Naniliuu?