Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,678
- 37,858
Majuzi nimemsikia Mhe Kamanda wa Matrafiki, Bw. Mpinga akidai kuanzia Julai, yaani mwezi wa saba wale wasioelewa Julai, wanaanza malipo ya watu kulipa faini kupitia vituoni na kwenye simu.
Swali langu kwako Mhe. Mpinga; Kama Mmewaamini kuwapa vile vitabu vya serikali wanavifinya kama desa la kuingia nalo kwenye mtihani, Kwanini msiwape na vitabu vya Risiti? Nini shida inayowafanya kutowapa vitabu vya risiti?
Hivi Watanzania mnajua mnafanya kosa kulipa Trafiki pesa anaweka mfukoni? Hii ni laana, muache uwoga, anatakiwa kuwapa risiti nawaambia!
Samahanii kama nagusa maisha ya baba zenu lakini huu ni upuuzi. Sasa Mheshimiwa anasema tena anataka tuanze kulipia via simu, loh mh kwaninii isianze April ama May? Au Mnapisha upigwaji wa Kura za Maoni kwanza isiangiliane?
Embu jipangeni jamani hii aibu si nzuri kabisa! Wamekuwa wakiomba hela bila aibu kabisa kabisa angalia huyo chini anavyojibana na gari kama anataka kutoboa mlango wa dereva! Ukitaka kucheka wapendwa kaeni kituo cha pili kutoka dereva wa basi la Mikoani, ona kituko, akishuka konda anabana 5000 kwenye lile karatasi la schedule kabla ya kupokea jamaa anaangalia madirishani kama kuna mtu anachungulia hii ni kila kituo! Hakuna Traffic anae saini bila kuwekewa shekeriii!
Sawa sio mbaya wekeni limit basi! Unakuta mtu analichokonoa gari kila sehemu. Oohh, Mimi!
Jana mmoja kaniacha hoi! Tena Mhe. Mpinga kamanda incharge Manyota nakutunuku kwa heshima, ila fuatilia hawa nyoka wako, kuna mmoja anajificha pale njia ya Cocacola bila aibu yuko na Pikipiki anasimamisha hadi bodaboda, wakimkwepa anaikimbiza!
Jana wamenisimamisha wanataka leseni. Hiyo akazunguka nayo...Karudi anataka ya usalalama wa barabarani, nikamwambia nimechukua jana gari bwd...Kageuka zile firexxx nk, unavyo nikawa nashuka akanirushia leseni ...Nikamfyonza na kuondoka..
Waambie wawe na heshima, wakikosa leo wajue kesho ipo. Sasa unanirushia leseni inadondokea mguuni nimekupa mkononi why???
Anyway, ushauri mwingine kamanda tukielekea na punguzo za 2015 tumepunguza mafuta/gesi/umeme na wewe uunaonaje ukapunguza hizo faini zako mh, inasaidia kukuweka karibu na wananchi tuangalie tunamchaguaje huyo anaekuja na wewe akuweke kwenye ufalme wake? Wazo tu!
Mwisho nakutakia mfungo mwema wa Kwaresma kamanda wangu kama utajaribu hata siku 5 si mbaya unaweza futa maovu yote ya traffic mkoa wa Dar es salaam!