Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Kutokana na tukio lilitokea juzi baada ya Adam Malima kupishana lugha na Askari pale masaki, na askari kuamua kupiga risasi juu Kamanda amesema kwamba kitendo hicho cha kupiga risasi ni sahihi kutokana na mazingira.
Wenda wajuzi wa sheria mnaweza kunisaidia pia ni kipindi gani au mazingira gani ambayo askari anaweza kufyatua risasi juu na ni nini hasa lengola kufyatua risasi hizo.. Je kuna madhara yoyote yanaweza kujitokeza kutokana na kufyatua risasi hizo na je mtu aliyeathirika na kitendo hicho anaweza kupata fidia kutokana na athari hizo na ni kwa namna gani anaweza kupata.
Kwa kuangalia video husika je mazingira yale yana justify kitendo cha kupiga risasi juu.. Msaada lakini usijibu kutokana na emotions.
-Words from Kamanda.