Kamanda Mbowe yu hoi Kisiasa, bado anatumia hekima

mwangalizi

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
842
512
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Mbowe ni mwanasiasa sioni wa kujifananisha naye ktk siasa za hapa Tanzania na hili ukilikataa sawa lakini uje na jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umetumwa na Lumumba kuja kutoka ushuzi hapa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kama kuna mtu anafanya siasa chafu unataka Mbowe ajiingize ili aharibu amani na heshima aliyojijengea?
 
Mku Mimi ni ccm lakini ndugu wanakuja na hoja za kitoto Sana. Mbowe pamoja na kumwaribia biashara zake na bado anatusumbu. Mwenyenzi Mungu akishakunyishea mkono kimauelewa ningumu binadamu kulibatilisha mimi ninaamini binadamu uwezo alionao ni kumchelewesha tuu kwa hiyo ni jambo la muda. Tunazunguka nchi nchi nzima muda ukifika yaani 2019 ndo tutajipima tulichokifanya ili tuaminiwe tena kwa hiyo tukumbuke tutaenda tena kuomba kura 2020 sio mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kama kuna mtu anafanya siasa chafu unataka Mbowe ajiingize ili aharibu amani na heshima aliyojijengea?
Mbowe amejenga heshima gani Zaidi ya wizi Wa kuiibia tra kwa kutolipa kodi ya nyumba pale bilcanas na kuchafua vyanzo vya maji.
 
Mtu mmemuaribia shamba lake pkn bado anawasumbua tu.watu walishajiwekeza toka kitambo
 
Back
Top Bottom