Kamanda Mbowe yu hoi Kisiasa, bado anatumia hekima

Kamanda Mbowe yu hoi Kisiasa, bado anatumia hekima

Dah..... Toka alivyousaliti na kuusambaratisha upinzani wa kweli nafsi yake inamsuta.... na azidi kulaaniwa......[emoji41] [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Mku Mimi ni ccm lakini ndugu wanakuja na hoja za kitoto Sana. Mbowe pamoja na kumwaribia biashara zake na bado anatusumbu. Mwenyenzi Mungu akishakunyishea mkono kimauelewa ningumu binadamu kulibatilisha mimi ninaamini binadamu uwezo alionao ni kumchelewesha tuu kwa hiyo ni jambo la muda. Tunazunguka nchi nchi nzima muda ukifika yaani 2019 ndo tutajipima tulichokifanya ili tuaminiwe tena kwa hiyo tukumbuke tutaenda tena kuomba kura 2020 sio mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie em mtaendelea kutawala daima, kwa katiba iliyopo na viongozi wa upinzani aina ya Mbowe na Zitto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Database ya matamko ya mbowe imeshakauka...
Hakuna jipya...
Ndicho nachosema kwenye hoja ya msingi, nashangaa watu wanaleta mapovu? Kanuni za matamko hazifanyi kazi tena, ajipime, ajitafakari na kuachia mawazo mapya yenye nguvu za kukinzana na mheshimiwa. Yeye asikitie shamba lake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
What do you mean? Yaani yu hoi lwa Tindulissu aliyejitokeza kuwa mtukanaji mkuu wa Rais kwa niaba ya Mwenyekiti.
 
Mgeni aliemkabidhi chama , anatoa matamko atakavyo, na hana ubavu wa kumthibiti sasa afanye nini?
 
Kuwa na mtu masikini ni shida sana. Hana awazalo zaidi ya kuwanyanyasa matajiri ili awafurahishe wajinga wenziwe. Hopeless kwelikweli!
 
Mbowe amejenga heshima gani Zaidi ya wizi Wa kuiibia tra kwa kutolipa kodi ya nyumba pale bilcanas na kuchafua vyanzo vya maji.

Wewe kweli ndiye Ngedere halisi tena mkubwa wa kijani.....

Wezi si mahali pao ni gerezani, au? Sasa Mbona jamaa yupo anakula bata tu tena msivyo na akili nyie ngedere mkabeba majembe kwenda kukatakata mboga mboga ktk bustani yake....!!

Lol, nyie kweli ni Ngedere a. k. a tumbili halisi wa kijani !!
 
Hahhahaha nimecheka sana ,...pale unapopigana ulingoni uku mshindani wako umemgunga kamba mikono na miguu afu unampiga na ww unashangilia kuwa nimempiga...pambano usimfunge tuone kweli nani mbabe hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom