Mwanaume surualiKama aliyeandika hii thread ni mwanaume pole nyingi zimwendee mkewe.
Ndo kilichobakia kwenye ubongo wa makalio yakoMbowe amejenga heshima gani Zaidi ya wizi Wa kuiibia tra kwa kutolipa kodi ya nyumba pale bilcanas na kuchafua vyanzo vya maji.
Ushaidi huwa Hatunaga kwani vyombo vya kisheria viko chini ya chama gani. Kwa nini tuwechama tawala then tunalilia hapa kuna salama kweliMbowe amejenga heshima gani Zaidi ya wizi Wa kuiibia tra kwa kutolipa kodi ya nyumba pale bilcanas na kuchafua vyanzo vya maji.
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti ya Mungu ni vigumu binadamu kuitegea kwa faida yakeKuna mitego mingi hatari sana mbele ya wapinzani ambayo mwenye nyumba ameitega. My Mbowe n.a. upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mtu kama huyu.....hata mkojo haujapimwa.Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliyeandika hii thread ni mwanaume pole nyingi zimwendee mkewe.
Ni dhahiri kuwa kamanda Mbowe amezidiwa kete na "mheshimiwa", mpaka sasa hajatambua kuwa huu mchezo kwa sasa haufuati kanuni wala sheria yoyote. Kabaki na "hekima" mahali pasipohitaji hekima, matokeo kabaki kuambulia ngumu za machoni na puani kwa sana.
Ni wazi kuwa FOBIA ya mheshimiwa ni chadema pekee. Kwa wale wenye fobia ya nyoka mtafahamu kuwa nyoka akiingia ndani hutalala hadi umponde ponde. Mbowe yupo hoi, haelewi chochote, kabaki na kanuni zake za kukariri, ambazo hazifanyi kazi tena. Nadhani ni muda wake wa kuamka usingizini kisha kujipima na ataona kuwa hafai tena kuongoza lichama na hivyo kuwaachia wengine.
Nawasilisha kwenu wachambuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wa hoja zenye mashiko za Viongozi , wafuasi na Siasa za kuelimisha ambazo hatunazo Sisi chama dola ndo yanasababisha hayo yote yatokeeUnapigana na mtu ulingoni huku umemfunga miguu, mikono na macho, kisha ukimshinda unajitapa wewe ni mbabe, ulafu aloshindwa unasema hana kitu wala hana nguvu.
ccm wanafanya vizuri kuzinguka ,maana wananchi wanaanza kuzijua chai zao mbaya, ikifika 2020 wananchi watakua wanakiu ya kuwasikia chadema, vidume vya siasa za tz, hapo ndipo hawata amini..Mku Mimi ni ccm lakini ndugu wanakuja na hoja za kitoto Sana. Mbowe pamoja na kumwaribia biashara zake na bado anatusumbu. Mwenyenzi Mungu akishakunyishea mkono kimauelewa ningumu binadamu kulibatilisha mimi ninaamini binadamu uwezo alionao ni kumchelewesha tuu kwa hiyo ni jambo la muda. Tunazunguka nchi nchi nzima muda ukifika yaani 2019 ndo tutajipima tulichokifanya ili tuaminiwe tena kwa hiyo tukumbuke tutaenda tena kuomba kura 2020 sio mbali
Sent using Jamii Forums mobile app