Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

Status
Not open for further replies.
Wote wana nia na lengo la kumkomboa Mtanzania,wako chama kimoja,tofauti yao ni umri na kabila,
 
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK walilinganishwa kwa urais wao. Lowasa na Pinda walilinganishwa kwa uwaziri mkuu wao. Slaa na Mbowe walinganishwe kwa kitu kipi? Kuwa specific ili tuwalinganishe, isije kuwa ukarudi siku nyingine ukasema Tambwe Hiza na Chenge nani zaidi, bila kusema katika lipi!
 
Buhry2010, swala la mbowe kugombea 2015 halina ubushi na ukitaka kuja ukweli ingia site ya kijana Mnyika. Katika kila maelezo anayotoa lazima aandike Mbowe 2015 yawezekana.
 
Freeman ni Kijana kuliko Slaa lakini Ameoa na ana Watoto anawalea Vizuri sana na Anampenda sana Mke wake na Familia yake, lakini Slaa sijui Ana Matatizo gani, amezeeka lakini Hajaoa, na Issue zake zinajulikana. Aidha Freeman ni mjanja Zaidi, alipoona Slaa anawika Sana Bungeni, aliacha kugombea Urais (aliona Ngoma ni Nzito) akamtoa Slaa Bungeni akamshakizia Kwenye Urais huku akijua hatashinda Bali Ataongeza kura ili Chama kipate Ruzuku zaidi, Kisha yeye Mjanja akaingia Bungeni ili Akawike zaidi Kama alivyokuwa Slaa! Sasa angalieni 2015 Kama hatasimama yeye Kugombea Urais! Mtanambbia, Jamani Mchagga Sio Mchezo!

Vilaza utawajua tu watajitahidi kuvuta fikira lakini cku ya cku watachemka! Hapo kwny red ni aibu!
 
ma DJs ninoma wanauwezo mkubwa,remember Andr la Jorina rais wa Madagascar.Slaa Juu ,Mbowe juu
 
wote sawa, ni viongozi wa CDM then ni watz wenzetu. Achen MAJUNGU JF, KUNA WATU WANALETA MAMBO YA FACEBOOK HUMU.
 
Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani zaidi?

Nawasilisha

DJ Mbowe ndo nani?
Wengine hatuendi club ni vigumu kuwatambua ma DJs
 
Freeman ni Kijana kuliko Slaa lakini Ameoa na ana Watoto anawalea Vizuri sana na Anampenda sana Mke wake na Familia yake, lakini Slaa sijui Ana Matatizo gani, amezeeka lakini Hajaoa, na Issue zake zinajulikana. Aidha Freeman ni mjanja Zaidi, alipoona Slaa anawika Sana Bungeni, aliacha kugombea Urais (aliona Ngoma ni Nzito) akamtoa Slaa Bungeni akamshakizia Kwenye Urais huku akijua hatashinda Bali Ataongeza kura ili Chama kipate Ruzuku zaidi, Kisha yeye Mjanja akaingia Bungeni ili Akawike zaidi Kama alivyokuwa Slaa! Sasa angalieni 2015 Kama hatasimama yeye Kugombea Urais! Mtanambbia, Jamani Mchagga Sio Mchezo!

Nimegundua Jamaa wanawatisha sana CCM na mafisadi. Makamanada watawasambaratisha mafisadi.
 
watu wengi wamechangia, nami pia nachangia. kiutendaji huwezi kuwatofautisha kwakuwa kila mtu anamajukumu yake!. huwezi kusema kati ya baba na mama yupi zaidi katika hali ya kawaida hata mama akinunua gari nyumbani hiyo itakuwa ni sifa kwa baba aliyejenga mazingira ya uwezeshaji mpaka mama akanunua gari. pia kwakuwa mbowe ni mwenyekiti wa chama na slaa ni katibu mkuu wa chama (mtendaji mkuu wa chama) chochote ulichokiona kwa slaa ni sifa kwa mbowe na chochote utakachokiona kwa chadema ni sifa kwa mbowe. pia kwakuwa mwenyekiti wa chama amechaguliwa na wanachadema, basi mazuri ya mwenyekiti wao na chama chao ni sifa kwa wanachadema wote!. jamani tumeshaona baadhi ya wenyeviti wameingia madarakani na kuwatoa makatibu wakuu wachapakazi na kuwaweka makatibu wakuu wasema hovyo wasiojua kazi!.
 
HUWEZI FANANISHA MWENYEKITI NA KATIBU WAKE HAPA UNATAKIWA UFANANISHE

F.A.MBOWE V/S J.M.KIKWETE-HAWA NI WENYEVITI

DR.W.P.SLAA V/S Y.R. MAKAMBA -HAWA NI MAKATIBU

hapo ndio leta majibu.
 
Me naona mpambano mzuri ni kati ya jk,makamba na tambwe hiza nani zaidi? Hapo utapata jibu zuri zaidi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom