Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda MBOWE Vs Dr SLAA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Mar 5, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani zaidi?

  Nawasilisha
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,572
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  ..hakuna zaidi, wote sawa!!!
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,434
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  jadili sasa!!!!
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huu uchonganishi sasa. Njama zako tumezitambua.
   
 5. J

  Jonas justin Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchonganishi!
   
 6. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  sasa utacompare vp watu au vitu visivyoshabihiana hao uliotelea mfano wana similar kazi so unaweza linganisha lkn hawa wewe unaotaka mmoja katibu mwenzake m/kiti kila mtu ana kazi yake anayoperfom na haziko sawa na mwenzako we unataka tulinganishe nini ukubwa wa u*** au?
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,810
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  that question applies only to CCM
   
 8. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  DJ ni cheo au educational qualification
   
 9. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,090
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  Dr Slaa zaidi.
   
 10. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Umesomea wapi wewe! Unaweza kuniruhusu nihoja IQ yako? Jamani kwani ni lazima ulinganishe official functions zao. You can compare even their behaviour, pia hata style yao ya maisha. Mfano, mmoja ni DJ na mwingine ni Padre. Mmoja ana kashfa"wachumba 30" na mwingine ana sifa ya kukopa na kukataa kulipa. Vipi wewe useme huwezi kukompea?
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  u must be in the toilet, this is the thinking of somebody who is smelling f......s
   
 12. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbowe ni Mwenyekiti wa taifa wa Chama.

  Dr Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama.

  Wote wako juu, na wote wawili na majembe, kila mmoja na majukumu yake.

  Vp Kuh Kikwete na Makamba? Je kuna yeyote aliye bora kati yao? Au hakuna??
   
 13. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata wewe bingwa wa kulinganisha hili limekupa kero? kwa ujumla hii dhana ya kulinganisha inapotoshwa kwa sababu hakuna kabisa uwiano unaoweza kuwafanya watu watoe ulinganifu au tofauti zao. Sasa hapa analinganishwa mwenyekiti wa chama na katibu wake sijui kwa lipi, umri, utajiri, wajihi, afya zao au ni kitu gani?
   
 14. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Dj Mbowe nampa 51 Dr Slaa 49
   
 15. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....they are similar in different ways and different in similar ways! judge yourself and keep the answer to yourself also!
   
 16. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,478
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  They are all the same!....power hungry
   
 17. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  wote ni wapenda vurugu na waroho wa madaraka
   
 18. Laface77

  Laface77 JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 1,071
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Na mimi naongeza kati ya Sheikh Yahya na Sheikh Msanii Kikwete nani zaidi?
   
 19. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 629
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwa lipi?
   
 20. B

  Buhry2010 Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Freeman ni Kijana kuliko Slaa lakini Ameoa na ana Watoto anawalea Vizuri sana na Anampenda sana Mke wake na Familia yake, lakini Slaa sijui Ana Matatizo gani, amezeeka lakini Hajaoa, na Issue zake zinajulikana. Aidha Freeman ni mjanja Zaidi, alipoona Slaa anawika Sana Bungeni, aliacha kugombea Urais (aliona Ngoma ni Nzito) akamtoa Slaa Bungeni akamshakizia Kwenye Urais huku akijua hatashinda Bali Ataongeza kura ili Chama kipate Ruzuku zaidi, Kisha yeye Mjanja akaingia Bungeni ili Akawike zaidi Kama alivyokuwa Slaa! Sasa angalieni 2015 Kama hatasimama yeye Kugombea Urais! Mtanambbia, Jamani Mchagga Sio Mchezo!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...