Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,192
NAOMBENI NITOE ANGALIZO,kama anaeratibu ulinzi huo ni mtu aitwae Yohana kimuto mstaafu wa polisi basi green guard ama serikali msipite anga izo,huyu bwana ana historia ya kuhamasisha demostration mbalimbali huko meru na ndo aliongoza uvamizi ktk mashamba ya SADC.kama ni kimuto Lema upo salama meru,huyu ni balaa

Mwenye matizo ni Tendwa na hao Wazee wa Kishiri, but aliyelikuza zaidi ni Tendwa kwani alistahili kutoa taarifa hizi kwa jeshi la polisi (kwa uvunjaji wa sheria). Nchi hii kila mtu yuko huru kwenda popote ili mradi asivuje sheria (sasa lema alivunja sheria ipi?). Je ingekuwa ni mtu wa CCM ametishiwa namna hiyo angeyasema hayo?
To me its more like him taking advantage of the opposition (CDM) to make extra votes for CCM.
hapana : nyie tumieni dola sisi tunatumia umma, bila kuwapigia hii staili mtatunyanyasa na mabomu yenu sasa twendeni kazi. Mnadola, usalama wa taifa, chadema tuna nguvu ya umma. Msitulaumu mlaumuni Tendwa mliyemtuma.
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
kamanda lema analindwa na mungu,moran niwasaidizi2 police wa magamba niwauwaji hatutaki ulinzi wao,eti mpaka waombwe ulinzi kwani hawakumsikia tendwa akimtishia maisha lema?na lema akifa tendwa tendwa tendwa!!unajua nguvu yauma kweli?police mkamaten tendwa msione tuko kimya tunayajua yoote
Aise, we upo Tanzania ya wapi? Mwakyembe naye hivi si aliwahi kuomba ulinzi kwa mjomba wako na yaliyomkuta ndo hayo tunayo yaona; also kama polisi kweli wanafanya kazi ya upolisi walitakiwa haraka sana waende kwa bwana Tendwa na kumwomba hao wazee waliompa taarifa za kuua then wachukue hatua (Dogo kwani we si ni mwanasheria na hili unalijua)Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Mkuu wangu Kimbunga
Tendwa ni msajili wa vyama vya siasa.Anakimbilia kwa waandishi na kusema wazee wa kishiri wamesema Lema akienda tu Arumeru anaweza kuuawa.Kwa hiyo Tendwa jaji aliyebobea anasema usalama wa Lema ni kutokukanyaga Arumeru mpaka kampeni ziishe.Kampeni zikiisha anaruhusiwa kwenda.Huo ndio ushauri wa kiongozi aliyebobea.Mkuu Kimbunga wewe unaona mwenye matatizo makubwa zaidi ni Tendwa au hao Washiri??
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Umenikumbusha Abdul Cisco Mtiro!Uchaguzi wa Arumeru ni kama wa Temeke enzi ya Mrema, JK akitaka kuumbuka pale apeleke pua....Chadema wapo macho 24hrs,,,
Mzee nimekubali. Unajua hii habari sikuifuatilia kumbe ina madhara makubwa sana. Sasa nani alimtuma Tendwa kuyasema yote hayo hata kama Washiri walisema haikuwa Busara yeye kuyasema.
Tendwa alijua MERU ni IGUNGA ngoja aonyeshwe nguvu ya umma wa kimeru ikoje.
Polisi gani unaowasema? Hawahawa waliomwacha Tendwa anadunda badala ya kumkamata asaidie polisi kumpata huyo aliyetamka jinai?Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Mwakyembe aliomba ulinzi wao miezi Tisa kabla hajawekewa Polonium 210 na matokeo yake umeyaona. Kumbe wao ndo wanaoshirikiana nao.Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.