Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Jamani mbona ni wengi sana!

hapana : nyie tumieni dola sisi tunatumia umma, bila kuwapigia hii staili mtatunyanyasa na mabomu yenu sasa twendeni kazi. Mnadola, usalama wa taifa, chadema tuna nguvu ya umma. Msitulaumu mlaumuni Tendwa mliyemtuma.
Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.

Polisi gani wewe?..Hawa wanaosema kuwa Mwakyembe hakuwekewa Pollonium-210, ndio unaowaongelea?Kwa nini Lema pamoja na viongozi wa Chadema wasiombe ulinzi kutoka jeshi la polisi, kwa usalama na mustakabali wa nchi yetu tujiepushe vita vya kikabila ambavyo vitatupeleka pabaya, sio vizuri kulindwa na walinzi wa jadi, tujifunze kutoka Tarime.
Ewe mola tuepushe na hili balaaaa! Morani zaidi ya 300 si ni zaidi ya platoon 5! Hivi Moran wa Kimeru wana tofauti na wale wa Kimasai kwa maana ya ubebaji wa silaha kama sime na marungu?
ukitaka kujua siasa za:
1.Haki
2.Uwazi
3.kutokuogopana
4.kuchukia na kupinga rushwa.
Hapa arumeru ndo nyumbani kwao.
Rasharasha ndo hizo.mvua itaanza kunyesha mda si mrefu.
Sasa uliowataja wanatofauti gani na Green gard?
Mkuu hii ni Tanzania wanayoitaka iwe. By the way, kwa mtu aliyepewa dhamana na title ya u-jaji aropoke vile, unategemea watu wenye kuta 28 za elimu maishani mwao wafanye nini?
Shame on you Tendwa.
Mkuu wangu Arumeru nakuaminia.Na haya hayanishangazi hata kidogo
Jamani mbona ni wengi sana!