only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
...Leo wakati wa maswali na majibu yakiendelea ghafla KAMANDA LEMA aliingia Bungeni na wabunge wa upinzani wakaanza kupiga meza zao,wakati huo waziri Lazaro Nyalandu alikuwa anajibu swali la Mbunge mkosamali.Baada ya kusikia makofi hayo m/kiti wa bunge Jenista Mhagama akaanza kumind kwanini wanapiga kelele wakati waziri anajibu swali,WABUNGE WAKASEMA LEMA KAINGIA,akajifanya amepuuza na akasema hebu kaeni kimya tumsikie waziri.
Jamaa ni jembe wakuu....
Jamaa ni jembe wakuu....