Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 65
Naongea haya kwa uchungu kwani Mimi naishi Buguruni siyo mbali sana na ofisi za CCM Buguruni kisiwani.
Mpaka muda huu kuna kigodoro kinaendelea hali ambapo ni mita chache sana polisi ya Buguruni kituo kikubwa.
Kilichonichukiza zaidi ni kuwa nina mtoto mdogo wa Siku 10 ambae anasumbua kwa kuumwa.
Kutoka nilipo kwenye kibanda changu na ilipo tumepakana Nyumba.
Nilienda polisi saa 7 usiku Kutoa taarifa mpaka sasa hakuna aliyekuja kwa ajili ya kusimamisha.
Swali langu imeruhusiwa,mama wa shughuli katoa hela kwa polisi ili asumbue watu huku mtaani?
Na kwanini polisi wanafanya kazi kwa mazoea? Slogan ya polisi jamii iko Wapi?