Kamanda kova tuambie, Mgombea wa CUF ni n

Sisi wanaUKAWA tunalijua hilo sana na ndio maana Duni akahamia CHADEMA. Hebu sasa nijibu, ni sheria gani inayokataza msafara wa CHADEMA kuanzia ofisi za CUF ?

Maandamano yangeweza ata kuzunguka Dar es Salaam nzima,kuanziaj3biba Bunju mpaka Gongo la Mboto, lakin pamoja na maandamano ni lazima haki za watu wengine kufanya shughuli bila bughudha iheshimiwe.Hatuwezi kuwazuia watu wote kwa sababu jebibay anataka kuandamana.

Hivyo wakati haki yako ya kuandamana inalinda vivyovivyo haki ya watu wengine kutosumbuliwa na kuharibiwa ratiba zao inaheshimiwa, ndio maana jeshi la polisi linatoa maelekezo ya njia rahisi kwa manufaa ya wote.
 
Hawaandamani, wanamsindikiza mgombea wao kuchukua fomu za urais kama CCM walivyofanya !

Nashukuru angalau umeelewa kwamba hakuna sheria inayozuia msafara huo kuanzia CUF kwa sababu ndicho Kova alichotaka tuamini na ndicho baadhi yenu hapa mlichokuwa mnajaribu kutuaminisha....

By the way, wakianzia Ufipa hakutakuwa na bughuza kwa watu wengine ? Hizo Bughuza zinakuwepo wanapoanzia kwenye ofisi za CUF tu !? Bughuza kuwepo zitakuwepo na ndio utaratibu inabidi uwe mzuri ili hizo bughuza zipunguzwe kwa sababu huwezi kuziondoa zote.......

Hata Rais au viongozi wa nchi nyingine wanapotembelea eneo fulani kunakuwa na bughuza kutokana na misafara yao, lakini zinavumiliwa kwa sababu na ni sehemu ya maisha......

Maandamano yangeweza ata kuzunguka Dar es Salaam nzima,kuanziaj3biba Bunju mpaka Gongo la Mboto, lakin pamoja na maandamano ni lazima haki za watu wengine kufanya shughuli bila bughudha iheshimiwe.Hatuwezi kuwazuia watu wote kwa sababu jebibay anataka kuandamana.

Hivyo wakati haki yako ya kuandamana inalinda vivyovivyo haki ya watu wengine kutosumbuliwa na kuharibiwa ratiba zao inaheshimiwa, ndio maana jeshi la polisi linatoa maelekezo ya njia rahisi kwa manufaa ya wote.
 
huyo kova anastaafu soon aache kubwabwaja na makengeza yake
 
kova anafata sheria na kisheria ukawa haitambiki inayotambulika ni chadema... yuko sahihi

Tatizo la ndugu zetu hawa wa upinzani ni wajinga kupita kiasi ni kelele tuu hata chembe ya kufikiri hawana
 
Ok. Ni sheria ipi inasema, msafara wa mgombea urais wa chama husika ni lazima uanzie kwenye ofisi za chama husika ?!

Hata kama hakuna sheria its ilogic na kusababisha vurugu na msongamano polisi wanammlaka kisheria kutoa muongozo ndio hiyo sheria jama unataka
 
CUF bara haitafutika bali itaongeza idadi ya Wabunge na Madiwani na ruzuku itaongezeka. upo hapo
 
Mkuu tuliza akili!
CUF hawana mgombea na mgombea mwenza wote ni CDM
Ndo kusema hata ruzuku hampati wala viti maalum .. zote zinaenda Chadema. Lowassa na Duni ni ticket ya Chadema.
Ngoja mkimaliza sherehe mtaelewa vizuri. CUF Bara imefutika imebaki jina tu.
Kova yuko sahihi wagombea wa CDM ndo wanaenda kuchukua fomu.
Ukawa haupo kisheria .. mliambiwa hamkusikia .. ngoja uone karatasi za uchaguzi ..hakuna CUF wala NCCR mwaka huu..

Mkuu hapo umechemka kwahiyo chama chako kinagombea kwaajili ya Luzuku na viti maalumu?
CUF anaiua nani? Kwahiyo niamini na CDM Imekufa Zanzibar?
 
Kova yuko online saiv ITV, Maandamano yatafanyika kama ilivyopangwa.

Chama tawala kinamchanganya Kova na mbaya zaidi anakosa wanasheria wa kumshauri
 
Attachments

  • 1439201663981.jpg
    1439201663981.jpg
    140.5 KB · Views: 128
Watu wote duani wanaweza kubadili mfumo wa uongozi wa nchi zao lakini kwa akili za WaTZ ccm itatawala milele hata wangefanya lolote lile liwe zuri zu baya
 
Mkuu tuliza akili!
CUF hawana mgombea na mgombea mwenza wote ni CDM
Ndo kusema hata ruzuku hampati wala viti maalum .. zote zinaenda Chadema. Lowassa na Duni ni ticket ya Chadema.
Ngoja mkimaliza sherehe mtaelewa vizuri. CUF Bara imefutika imebaki jina tu.
Kova yuko sahihi wagombea wa CDM ndo wanaenda kuchukua fomu.
Ukawa haupo kisheria .. mliambiwa hamkusikia .. ngoja uone karatasi za uchaguzi ..hakuna CUF wala NCCR mwaka huu..

Ruzuku itatoka kwakuw CUF wanamgombea wao Zanzibar, pia wana wabunge na madiwa kote bara na zanzbar, kw uelew wangu ruzuku itatoka hata km cuf hawana rais bara, sheria inayohusu vyama vya siasa, vlvyosajiliwa, ruzuku inapata. Usiwe na ushabik w kiasa hasa upand w ccm, unatakiw uelewe kwnn upo ccm au chm kingne, sio unafuata mkumbo kwakuw fulan yupo chama flan na ww umo. Dah, yani hapo ulipo hujui hata sheria y kuanzishw kw vyma vy siasa !!!! Ucvamie mambo uxoyajua,,,,,kaapembeni. Wale sio wajinga, sasa wambunge na madiwan watofnyaje kampen km hawatopata ruzuku ? Yani unajfnya unajua kuliko wazee w nchi ?
Ova
 
Tatizo la ndugu zetu hawa wa upinzani ni wajinga kupita kiasi ni kelele tuu hata chembe ya kufikiri hawana

Ni Sheria ipi inayompa mamlaka ya kuzuwia watu kumsindikiza mtu sehemu yoyote ile?
nathani kama huna cha kuchangia kaa kimya utaeleweka tu ndugu.
Pia tatizo lako ni kujiona wewe unajua kila kitu kwa sababu uko CCM
 
Ruzuku itatoka kwakuw CUF wanamgombea wao Zanzibar, pia wana wabunge na madiwa kote bara na zanzbar, kw uelew wangu ruzuku itatoka hata km cuf hawana rais bara, sheria inayohusu vyama vya siasa, vlvyosajiliwa, ruzuku inapata. Usiwe na ushabik w kiasa hasa upand w ccm, unatakiw uelewe kwnn upo ccm au chm kingne, sio unafuata mkumbo kwakuw fulan yupo chama flan na ww umo. Dah, yani hapo ulipo hujui hata sheria y kuanzishw kw vyma vy siasa !!!! Ucvamie mambo uxoyajua,,,,,kaapembeni. Wale sio wajinga, sasa wambunge na madiwan watofnyaje kampen km hawatopata ruzuku ? Yani unajfnya unajua kuliko wazee w nchi ?
Ova

Ndio umeongea nini umechanganya na takataka kibao
 
Jamani wanandugu mmemsikia kova akisema eti Lowasa aende akaanzie maandamano kwenye ofisi za CDM...sasa swali langu kwenu wana JF nisaidieni, ni lini kova amevunja muungano wa UKAWA? Maana kama hajauvunja mgombea anayohaki ya kuingia kwenye tawi lolote la vyama vyake.. Vinginevyo kova atuambie nani ni mgombea wa CUF.

Huyu macho kumchuzi anatumika tu!! mara hii hawezi zuia mafuriko kwa mikono!

Hajielewi huyu

Ndio wote hao huyo katimwa ana lake jambo. Serikali yao ndio inayoyoma.

Ni kipindi ambacho organs muhimu za serikali ziko kwenye mbinyo na mtanziko mkubwa....tumsamehe tu KoVa
 
Nadhani hapo kova atakuwa akiongea sentensi moja anafungua simu kusoma meseji za nape akimwelekeza cha kusema....
ccm NI MAITI KWA SASA
 
Mkuu tuliza akili!
CUF hawana mgombea na mgombea mwenza wote ni CDM
Ndo kusema hata ruzuku hampati wala viti maalum .. zote zinaenda Chadema. Lowassa na Duni ni ticket ya Chadema.
Ngoja mkimaliza sherehe mtaelewa vizuri. CUF Bara imefutika imebaki jina tu.
Kova yuko sahihi wagombea wa CDM ndo wanaenda kuchukua fomu.
Ukawa haupo kisheria .. mliambiwa hamkusikia .. ngoja uone karatasi za uchaguzi ..hakuna CUF wala NCCR mwaka huu..

tatizo hawa jamaa shule hakuna, wao ni kufuata mikumbo tu.
 
Back
Top Bottom