Kamanda kova tuambie, Mgombea wa CUF ni n

Kamanda kova tuambie, Mgombea wa CUF ni n

Usichokielewa ni kuwa baada ya uchaguzi CCM ndo itafutika visiwani sio kama unavyotabiri,CUF hawana wasiwasi Zanzibar inawatosha huku bara tutagawana UKAWA iliyobaki
Mkuu tuliza akili!
CUF hawana mgombea na mgombea mwenza wote ni CDM
Ndo kusema hata ruzuku hampati wala viti maalum .. zote zinaenda Chadema. Lowassa na Duni ni ticket ya Chadema.
Ngoja mkimaliza sherehe mtaelewa vizuri. CUF Bara imefutika imebaki jina tu.
Kova yuko sahihi wagombea wa CDM ndo wanaenda kuchukua fomu.
Ukawa haupo kisheria .. mliambiwa hamkusikia .. ngoja uone karatasi za uchaguzi ..hakuna CUF wala NCCR mwaka huu..
 
Swala la viti maalumu na posho, kwa wale ambao hawajaweka mgombe wa urais. Ummoja huo umekubalia kugawana kwa kitakachopatikana, hayo yote wakubwa wa vyama wanayajua na walishayamaliza. Ndiyo maana unaona umoja upo imara.
 
Jamani wanandugu mmemsikia kova akisema eti Lowasa aende akaanzie maandamano kwenye ofisi za CDM...sasa swali langu kwenu wana JF nisaidieni, ni lini kova amevunja muungano wa UKAWA? Maana kama hajauvunja mgombea anayohaki ya kuingia kwenye tawi lolote la vyama vyake.. Vinginevyo kova atuambie nani ni mgombea wa CUF.

Ushabiki wenu huu utawaponza.tambua kwa sasa Tanzania sheria haitambui kitu kinaitwa ukawa na hakijasajiliwa popote.unaweza kumwona kova hana akili lakini ulijichunguza kwa kina utajiona mjinga kushabikia ujinga.
 
Nyie watu sijui kama shule mlikwenda,hivi hujui kuwa Lowassa ni mgombea wa Chadema?tume ya uchaguzi haiijui UKAWA inaijua Chadema na ndio maana ilimbidi Mzee Duni achukue kadi ya Chadema ili awe mgombea mwenza.

Hii ya UKAWA ni ya huku mtaani tu,UKAWA haitambuliki kisheria.

Hawajuhi kama Lowassa ni mgombea wa CDM ..na ajabu CDM wenyewe wamesusa maandamano
 
Back
Top Bottom