Kamanda KOVA atoa Onyo kali Kwa vijana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda KOVA atoa Onyo kali Kwa vijana.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Emma Lukosi, Nov 4, 2010.

 1. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Source; Tbc Taifa.

  Kupitia taarifa ya habari iliosomwa kupitia Tbc1 Taifa, Kamanda Kova amedai kuwa kuna
  Vijana ambao wanarubuniwa kwa kupewa Pesa na wana siasa wasioitakia mema Tanzania
  Kwa ajili ya kuanzisha Maandamano yasiyo ya Halali Pamoja na kuleta machafuko.


  My take;

  1. Kwa kutumia kodi zetu Kova, Mwema wanalipwa mishahara.
  2. Kwa kutumia rasilimali za Zetu wananua magari ya kutumwagia maji Ya Pilipili.
  3. kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama Wanatunyima Haki zetu za kidemocrasia.
  4. Kwa kutumia uvumilivu na hekima zetu wana Tutawala kimabavu.
  Tufanyeje;

  Tukiwa kama Watanzania ambao tumeshindwa kuvumilia Uhuni Huu, Basi kwa kutumia thread hii Tutoe maoni ya Msingi ambayo Ukiwa kama Mzalendo unadhani yataweza;

  • Kuinusuru Democracy ya Nchi yetu.
  • Kurudisha heshima ya Taifa Tanzania
  • Na mengineyo kwa Manufaa yetu na Vizazi Vyetu.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kova si anaishia Kiluvya kimadaraka ya Polisi?sasa kwa nini atangazie TAIFA?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  halafu ukijipaka oil chafu yale maji huwa hayakuwashi unapeta
   
 4. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  WATANZANIA tunasubiri kengele tu ni kama mwanafunzi wa shule ya msingi anayesubiri kengele ya saa nne aende mapumziko kama haikulia siku hiyo hatotoks. Dr. Slaa, Mbowe tangazieni wapiga kura waliodhulumiwa kura zao nini cha kufanya. hatuwezi kuvumilia alichokifanya Kikwete aende akashike msaaf aape kuiongoza nchi hii. Dhalimu yule
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Thanks 4 tactical advice..
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hivi kova ana elimu gani?
   
 7. L

  Lorah JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Mwambieni Kova aanze kulinda nyumbani kwake jamani maana yeyote anayetuzuia tutaanza na nyumba yake wakati wanaomboleza siye tunasonga mbele......
   
 8. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  CHADEMA Ni sauti ya UMA, tukiwa kama Uma tuangaze Mbali na Tufanye Jambo kubwa zaidi Ya kuandamana.
  Ambalo si tu litawashangaza mafedhuli wa CCM bali na hata Ulimwenguni kote ili iwe Mfano kwa Viongozi
  wote wa Africa ambao Ni Viziwi wa Democrasia.
   
 9. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pamoja na kuwa inaweza kuwa kweli kuwa Slaa au Lipumba wameibiwa kura na CCM, lakini sidhani kama huu ni wakati muafaka wa kuanza kufikiria violence kama ndio suluhisho la yaliyotokea, kila nikijaribu kuvuta picha ya yalioyotokea katika nchi zote zilizoamua kuchukua violence kama ndio suluhisho la yatokanayo na uchaguzi, NAOGOPA kweli! WaTz bila kujali itikadi za vyama vyetu tuwewavumilivu kuna njia mbadala za kusuluhisha na kupata haki tunayodhani tumedhulumiwa. Tuache kabisa kufikiria fujo kama ndio njia mbadala kwani mwisho wa siku hakuna jema litakalo tokana na fujo hizo! chonde chonde watz jazba na munkari hazifai wakati huu!
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Lakini mimi nilimwangiwa na sikuwashwa na wala nikuwa sijajipaka oil chafu nilishanga au walikuwa wameweka fake....
   
 11. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa uyakinifu Tupe hizo njia Ndio Tunazozitaka.

  -Kenya Baada ya Strike leo wanapeta, katiba mpya maisha mapya Yenye matumaini.
   
Loading...