Nchi hii haiishi maajabu. Pesa ya kuwalipa vizuri waalimu na madaktari tunaowahitaji ni shida, lakini pesa ya kuongezewa mkataba polisi kama kova ambaye hata elimu yake hailingani na cheo alichonacho kwa dunia ya leo inapatikana.Alitakiwa kustafu Oktoba mwaka jana, tukaambiwa ameongezewa mwaka mmoja na Mkulu aliyepita kwamba watastafu wote.
Sasa tunauliza ni lini kamanda wetu huyu atastafu, maana amekuwa na utumishi uliotukuka ndani ya jeshi letu la polisi, mwaka alioongezewa ushatimia.
Wenye kujua karibuni mtujuze
Kielelezo cha matatizo tuliyonayo kwenye vipaumbele.