Kamanda Kova anastaafu lini?

Kamanda Kova anastaafu lini?

maisha ya wastaafu wote serikalini huwa yapo hatarini baada ya kustaafu. tatizo kubwa linalowakumba ni kuwa, wana muda mrefu wa kuwatumikia watanzania huku wakisahau private life.

hawafanyi kazi nyingine nje ya ajira, matokeo yake kila anachofanya kwa kutumia pension, kinagoma. wanachakaa upesi
Hatari sana, maisha ya mteremko jeshini yanawaponza kama vile nyumba, umeme na maji sasa wakistafu wakija huku uswazi hawawezi kitu...
 
Back
Top Bottom