Kamanda anapouza ramani ya vita

Mkuu umekunywa viroba au pombe za kienyeji?? Unaandika kama hadithi za babu yangu nilipokuwa ndogo akiniambia ukiona jua na mvua ujuwe simba anazaa.
Unaona hadithi kwa kuwa elimu ndogo hujaelewa BACK2SCHOOL na hili ndo tatizo lenu na ngao yenu ni MATUSI sikushangai ndo sifa zenu
 
Lissu kakamatwa sababu Sizonje pressure imepanda magogoni anaweweseka huku anamtaja Lissu
 
UOTE="Ilankunda1234, post: 23007916, member: 345979"]Kamanda kauza ramani vitani[/QUOTE]
Dawa ya deni kulipa
 

Wazalendo ni wale wanaolitia Taifa hasara,mikataba mibovu,wizi wa raslimali zetu,wanao nunua vivuko vi vibovu kwa mabilioni ya shilingi hawa ndiyo wazalendo,hongera sana.
 
Tatizo lenu mnafikiria uzalendo Ni kutetea mapungufu ya viongozi mnaowashabikia, Na pia hata pale wanapohitajika kuwajibika kwa kulitia taifa hasara mnajaribu kujazana ujinga eti tumuunge mkono...!

Umasema mko kwenye vita ya kupambana Na mabepari!?, hujui hata maana ya bepari halafu unategemea ushindi kwenye hiyo vita feki ya kiuchumi iliyoanzishwa bila hata weledi.
 
Ujinga ni ujinga tu tu hata ufanywe na mtu mwenye PHD, mkikaa kimya walau mtaonekana mna busara ila huku kujiliza ndiko kunakofanya mzidi kuibua msiyotaka yawe wazi....eti ramani ya vita! Kuingiza taifa kwenye hasara kubwa kiasi hicho siyo vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…