Kamanda alipowambia laleni na silaha hamkumuelewa?

Aliyekufundisha kuwa panga ni silaha,inakubidi umlaani sana,au ni mfumo duni wa elimi uliopo unakupelekea kuamini kwamba panga ni silaha.
Kwa hiyo tukubaliane na mtazamo wako kwamba panga ni mapambo.

Nakushauri, wahi Milembe
 
Kwa hiyo tukubaliane na mtazamo wako kwamba panga ni mapambo.

Nakushauri, wahi Milembe
Kuwahi milembe si tusi wala adhabu,panga ni zana ya kilimo. ukiitumia panga dhidi ya adui yako ufanisi wake wa kukulinda ni mdogo sana yaani kuna uwezekano wa aslimia zaidi ya 50 panga likakidhuru mwenyewe,adui yako ana uwezo wa kukunyang'anya na kukugeuzia kibao,
 
Kuwahi milembe si tusi wala adhabu,panga ni zama ya kilimo. ukiitumia panga dhidi ya adui yako ufanisi wake wa kukulinda ni mdogo sana yaani kuna uwezekano wa aslimia zaidi ya 50 panga likakidhuru mwenyewe,adui yako ana uwezo wa kukunyang'anya na kukugeuzia kibao,
Sawa kabisa. Hata 'nuclear' ni chanzo cha nishati tu. Tuishie hapo
 
Back
Top Bottom