kama ....

kama ....

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
kama haja ndogo ni "short call" ,haja kubwa ni "long call" basi kujamba iitwe ni "Missed call" ama mnaonaje wadau
 
uwiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeee ha ha haaaaaaaa
 
Dah, ebwana unataka kunisababishia kilema cha mbavu hapa...

:first:
 
mie hoiiiiiiiiiiiiiii, sina kipingamizi iwe tu missed call
 
kwa hiyo mtu akisema nimepata missed call yako ujue hapo umesha..............
 
hahahahaaaa...., thnx mkuu maana kwa mtindo huu mambo ya GLM tunayasahau kisela :msela:
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,mbavu yangu imepata kreki
 
kama haja ndogo ni "short call" ,haja kubwa ni "long call" basi kujamba iitwe ni "Missed call" ama mnaonaje wadau
Mimi naona kujamba sio "missed call" bali ni "KUBEEP" au unasemaje? kama umeenda kushusha havikutoka hapo ndio "Missed call".
 
Back
Top Bottom