Kama yeye

Apana siendagi mimi, wataka unipeleke huko unyagoni?
Alafu ivi iko mkoa gani maana nasikiaga unyagoni kuna maghorofa na mataa lol
Hii kazi ya huko unyagoni nakukabidhi kwa kungwi farkhina akufundishe mambo ya mwambao...
 
Last edited by a moderator:
Mtoto kasimama sio kama wale wanaojibleach
 
wa hivyo huwa wa kupiga nao picha tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…