Kama Yesu Alivyofufuka, Watanzania Tutafufuka kutoka Kwenye Umasikini

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
Happy Easter Everyone... Nachukua nafasi hii, Kuazimisha kufufuka kwa Yesu, Kuwakumbusha Viongozi wetu wanaojipenda wenyewe Bila Kujali Hali Halisi ya maisha ya Mtanzania kwamba , Dalili za Watanzania kufufuka kutoka Uonevu zinaonekana, Platform mbalimbali kama Jamiiforums zinazidi kuuithibitisha unabii huu na kwamba Hakuto Mbali kufufuka.

Ole wenu Viongozi mnaotaka muone alama za mikono kama tomaso , Mwisho wenu hauko mbali.

Mwisho Kama Yesu alikishinda Kifo, Watanzania tutaushinda umasikini na Ufisadi
 
Back
Top Bottom