Kama wewe ungelifanyaje?

Kama wewe ungelifanyaje?

Joined
Mar 16, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Shekhe alikuwa anakatiza mtaan,Punde akamwona mtoto mdogo yupo getin ameshindwa kubonyeza shwich ya kengele.Shekh kwa uruma ikabidi ambebe yule mtoto akabonyeza kengele.baada ya hapo akamwuliza mtoto je,kuna lingine nikusaidie.Mtoto akamwambia shekhe tukimbie wenyewe wakuja asa hivi.
 
Hahhaha astakufululaahi mtoto hana abaadu huyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahahaahhhh me ningemsaidia pia na kukimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom