√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani
√ Umepona katika majanga tofauti
√ Na mwili wako uko salama
Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment....
Kwa Hisani Ya watu wa #Facebook
Kwani hili ndilo jibu la swali langu?
Halafu kwani mtoa mada amesema tuweke maneno yanayokufurahisha wewe?
Swali lako linasemaje vile?
mtoa mada kasema "Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment...."
√ Una ona
√ Una sikia
√ Una ongea
√ Una Tembea
√ Una shika vitu
√ Una kula
√ Una sehemu ya kulala
√ Una kipato chako hata kama cha wastani
√ Umepona katika majanga tofauti
√ Na mwili wako uko salama
Like Post hii kisha Andika "Asante Mungu" kwenye comment....
Kwa Hisani Ya watu wa #Facebook
nina uhuru wa kuchaguaMkuu, kwani na wewe ni mfuasi wa Shetani?
Mini nimefanya hivyo na wewe unaniambia nimekosea
Hujui kuwa ni jukumu lako kueleza makosa yangu yalipo?