KAMA wewe ni mtanzania wahi kitambulimbulisho cha utanzania

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
Jamani nendeni mkajiandishe ama mkapige hizo picha za vitambulisho,baadae itakuwa noma,huu si mzahana.
Walioko dar zoezi linaendelea wahi mapema leo ama kesho.
 
Mkuu mi mwenyewe siend kujiandikisha piga picha ntakuwa na driving licence, vya benk crdb,nmb, nbc, barclays, cha kazi, cha mpiga kura, cha mkazi, kadi yangu ya chama, card ya afya, vyote hivyo sasa si utakuwa mzigo huo, au utakuja kunisaidia wewe kuvibeba na hii vurugu ya usafiri hapa dsm we ndio utanisaida niwe mwepes pale posta ile jion ninavyogombea gari? walahi wabilahi siendi mimi kuchukua.
 
Jamani nendeni mkajiandishe ama mkapige hizo picha za vitambulisho,baadae itakuwa noma,huu si mzahana.
Walioko dar zoezi linaendelea wahi mapema leo ama kesho.

Sio kweli. Hili zoezi in endelevu. Kutakua na vituo maalum vyakuandikisha na kutoa hivyo vitambulisho hapo baadae. Kama wewe in mtanzania utapata tu kitambulisho chako hakuna haja ya kukanyagana huko.
 
Mkuu mbona unajiamini hivyo?

Papa Mopao, nina shilingi milioni moja hapa.....tafadhali naomba uniimbe kwenye moja ya nyimbo zako. Nitashukuru sana. Tena useme Mkereketwa_Huyu ni moto wa kuotea mbali anaogopwa na serikali kama bomu la nyuklia na Jamii Forum yote iko chini yake.....ohooooo X2.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi mwenyewe siend kujiandikisha piga picha ntakuwa na driving licence, vya benk crdb,nmb, nbc, barclays, cha kazi, cha mpiga kura, cha mkazi, kadi yangu ya chama, card ya afya, vyote hivyo sasa si utakuwa mzigo huo, au utakuja kunisaidia wewe kuvibeba na hii vurugu ya usafiri hapa dsm we ndio utanisaida niwe mwepes pale posta ile jion ninavyogombea gari? walahi wabilahi siendi mimi kuchukua.

Hahaha ucjal watakutambua tu!si una ile alama ya ndui mkononi???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom