Kama wewe ni mtaalam wa animation ingia hapa

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Jamani natamani na ni interest yangu kutengeneza katuni animation kama wewe ni mtaalamu wa hili swala nipe maujanja hata kwa video au maneno ntashukuru sana natamani kufanya kama zile za vijitabia na ray pamoja na zile za ubongokids au zaidi
 
Hivyo vitu huwezi jifunza JF ndugu nenda shule, bahati mbaya bongo hakuna chuo rasmi cha mambo hayo
 
Hatimaye nimeanza kuperfom na nimeanza kutengeneza animation nitakayo upload baada ya muda si mlefu natumia blender software
 
ugumu uko wapi mkuu? binafsi napenda sana animation, na nina nia ya kujifunza
Fanya hivi tafuta tutorial kwa kutumi youtube angalia namna wanavyofanya wakati uo uo uwe umeinstall software ya animatiom kama vile blender software fuata maelekezo kama wanavyo kuelekeza ukiwa na na bidii utajikuta umetumia hela kidogo ukafanya makubwa
 
Jamani natamani na ni interest yangu kutengeneza katuni animation kama wewe ni mtaalamu wa hili swala nipe maujanja hata kwa video au maneno ntashukuru sana natamani kufanya kama zile za vijitabia na ray pamoja na zile za ubongokids au zaidi

Kama kweli unashida nitafute kwa namba hii hapa 0717238773 nikupe basic ............
 
mimi ninauwezo wa awali wa kichora katuni. mwenye msaada zaidi ya software itakayoweza kunisaidia kuchora kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom