Kama wewe ni mshangazi basi ujue unasakwa kwa penzi matata

Kama wewe ni mshangazi basi ujue unasakwa kwa penzi matata

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,165
Reaction score
8,959
Uwe mshangazi halisi sio wa kuchovya

Uwe unajimudu mwenyewe na usiwe mtu wa nyeenyee sio kila siku wewe ni mtu wa kujiliza tu mara niongezee vocha mara gesi imeisha mara nchangie mjombaangu kafa kumbe mjomba ni mzima anadunda zake.

Mengine tutachat bdae
 
IMG_20250517_001500.jpg
 
Back
Top Bottom