Kama wewe ni binadamu...

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Kama wewe ni binaadamu mtumie link hizi binaadamu mmoja tu Tanzania hata kama ni nje ya Tanzania , huwezi kujua ukimfungua macho utamuokoa na nn , na yeye mwambie amtumie mtu mmoja tu, and boom, the truth goes viral all over ,

Wewe msumbufu sana kama umepewa kazi ya promo nenda facebook kule ndio utawakuta walengw
Hii sio promo, soma uyaelewe, hayo ni purely maarifa ya kiroho, usitake watu waangamie kwa kukosa maarifa ,
Ni wanephili tu ndio naamini watapingana na mm , sio binadamu wenzangu,
 
Hii sio promo, soma uyaelewe, hayo ni purely maarifa ya kiroho, usitake watu waangamie kwa kukosa maarifa ,
Ni wanephili tu ndio naamini watapingana na mm , sio binadamu wenzangu,
We una chuki na wazungu
Kinachofanya sisi waafrika tupate msoto ni ngono na Uzinzi uliopitiliza mfano Mimi nalipwa 150k lakini Nina watoto Saba Kwenye ndoa na watatu nje ya ndoa

Sasa lazima nipate
HIV
Kisukari. Cha kurithi
UTI Sugu
Stress nk

Wazungu tuwaache tujitambue kwanza
 
Huyu jamaa ni ndimu
JamiiForums-531581206.jpg
 
Ndimu utakuwa wewe na uzao wako,
Hapa hamponyoki hata mje kwa angle gani,.
Hakuna cha chuki na wazungu wala cha nini, mm nimeeleza maandiko sio personal opinion zangu about the world, tumia akili na usiwatoe watu kwenye reli ya kuelekea kuujua ukweli,
Nimeshasema wanefili ni uzao wa shetani , ni waongo kama baba yenu lusifa , najua mtajaa humu na ujanjaujanja mwingi kutaka kuhamisha goli, ila ndio mmeshafeli, mpaka hapo,
 
Ulienda church leo! Kuna uwezekano ukawa umeiba chupa la divai ukidhani ni juice! Kaa tulia mzee unataka attention kubwa kuliko unavyo taraji, umeanzisha nyuzi mbili zenye maada moja na umefungua ya tatu yenye link ya hizo nyuzi zingine! Upo sawa kweli!?
JamiiForums1848359410.jpg
 
Back
Top Bottom