Siwezi kunyamaza tena, unganisha dots mwenyewe...

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Muda umekwisha kabisa , alarm zote za mwisho.zimelia tayari ; mfano tu : mwaka jana mwishoni rais wa marekani , Joe Biden, amesain sheria ya ndoa za jinsia moja marekani , kwa sasa ruksa nchi nzima, ya marekani na sio baadhi ya majimbo tu kama ilivyokuwa hapo awali.

Maandiko yanasema kuwa nyakati za mwisho itakuwa kama " Sodoma na Gomora" , hivyo hiyo ni alarm kubwa kuliko zote ulizowahi kuzisikia kuhusu kiama, kwani dhambi zote Mwenyezi Mungu huvumilia lakini ikifikiaga hapo , ni kiberiti, hivyo sasa malaika wameshaanza kuandaa petroli huko juu

Jambo hilo halitaishia marekani, kwani kama ilivyo desturi , watafanya kila namna kulifamya lisambae ulimwenguni kote, ndio kiama yenyewe imewadia sasa.

Je, ni kina nani hao wanao tuletea mambo hayo ? Hao ni wanephili , wapo tangu zamani sana na ndio freemason ya sasa

ANGALIZO : PATA TAHADHARI HIYO KUWA SIO KILA MTU UNAEMUONA DUNIANI NI BINADAMU , WENGINE NI BINMAJINI , WENGINE WANADATE , WANAOA , WANAOLEWA NA HAO MFANO WA BINADAMU LAKINI WANASHANGAA MWANZONI UPENDO BAADAE MAUMIVU BILA HURUMA NA HATA MAUTI SAA NYINGINE.( WATCH OUT !!)




 
Simama na Mungu.

Shetani amesaliwa na muda mchache sana.

Tuwabadilishe mashoga warudi katika utu wao kwa sababu hakuna mwanadamu haramu
 
Simama na Mungu.

Shetani amesaliwa na muda mchache sana.

Tuwabadilishe mashoga warudi katika utu wao kwa sababu hakuna mwanadamu haramu
Sasa katika hawa kuna categories humo, waliodanganywa ni wale ambao naturally ni binadamu, hawanafsi zao zinawashtaki kwa sababu ya ubinadamu wao hivyo wakielekezwa wanaweza kupata akili na kuisikia vizuri hiyo sauti inayowashtaki na kuwaonya ndani ya nafsi zao.

Wale binmajini kwa upande mwingine wao wanajielewa na wanajua wanachofanya na kwanini wanafanya ila wanawachukua mkumbo binadamu walioangikia kwenye mazingira yao, nature and nurture hapo inaleta matokeo
 
Muhimu tu usije ukapatwa na tatizo la afya akili. Maana ukilinganisha na huu ugumu wa maisha ulio ikumba nchi yetu, kwa kweli hali ni mbaya.

Kama ni huo ushoga, ulishakuwepo kitambo. Ishu tu ni kwamba siku hizi unafanyika waziwazi kutokana na athari za utandawazi. Zamani hao watu walifanya mambo yao kwa siri.
 
Relax mkuu sio kila jambo unalaumu USA, hapo SA unamkumbuka yule world 800m champion, C.Samenya ameoa mwanamke mwenzie, unamkumbuka captain wa timu ya mpira wa miguu SA waliochukua ubingwa pale Morocco, naye ameoa ke mwenzake, mkuu shusha pumzi after all wewe na mimi nani katupa mamlaka ya kuhukumu?
 
Hayo mambo yalikuwepi tangu na tangu sema watu walikuwa wanafanya siri now days watu wamechoka kujificha ndio maana ata mtaani wapo wengi wana chumu jinsia moja na wanainjoy hawana hofi acha kujiumiza kichwa kwa maisha ya watu kila mtu ana adhabu yake
 
Mkuu ni petroli hii aliyogundua mwanadamu au ni petroli ipi
Kila kitu tunachotumia ama tulichonacho duniani maandiko yanasema ni mfano tu vyenyewe vipo huko juu milele,
Ndio maana maandiko yanataja magari ya moto, majumba , n.k vyote vipo huko juu,
 
Sasa katika hawa kuna categories humo, waliodanganywa ni wale ambao naturally ni binadamu, hawanafsi zao zinawashtaki kwa sababu ya ubinadamu wao hivyo wakielekezwa wanaweza kupata akili na kuisikia vizuri hiyo sauti inayowashtaki na kuwaonya ndani ya nafsi zao.
Wale binmajini kwa upande mwingine wao wanajielewa na wanajua wanachofanya na kwanini wanafanya ila wanawachukua mkumbo binadamu walioangikia kwenye mazingira yao, nature and nurture hapo inaleta matokeo ,
Na katika ulimwengu wapo watoto wa majini ambao wsnaishi na kukua pamoja na watoto wa binadamu.

Upo sahihi
 
Kila kitu tunachotumia ama tulichonacho duniani maandiko yanasema ni mfano tu vyenyewe vipo huko juu milele,
Ndio maana maandiko yanataja magari ya moto, majumba , n.k vyote vipo huko juu,
Wewe ni product ya fake Evangelism.Mkuu hakuna "juu!" Kwa sababu tu Mitume walimuona Bwana Yesu akichukuliwa na mawingu.Ni uelewa wetu mdogo wa Universe ndio unaotufanya tudhani kwamba kuna "juu," lakini hakuna juu.

By the way sisi makao yetu ya kudumu ni duniani.Tutaishi na Kristo for a thousand years baada ya Lucifer kuwa bound kuzimu.Baada ya kufunguliwa kwake atatupwa kwenye Ziwa la Moto la Kiberiti.Sisi tutaishi forever in the New Jerusalem with Jesus Christ here on Earth,but the New Jerusalem will only "descend" to earth from heaven after God has purified the earth.

Finally,Wanefili sio wanao-hamasisha uovu kwa sasa,ingawa walikuwa waovu sana.Biblia inasema kwamba Wanefili ilikuwa uzao wa Malaika walio acha enzi yao na ku-intermarry na humans.Wanaohamasisha uovu kwa sasa ni minions of Satan.Wanefili waliangamizwa katika ngarika ya Nuhu.Infact it is believed ndio maana Mungu alileta gharika ili afute kizazi cha Wanefili.

Hata hivyo wazo la inter- marriages kati ya Malaika walioasi na wanadamu bado lipo hai,na it is believed that hybrids hizo zipo,ila sio giants kama Wanefili wa Biblia.Wamarekani ndio Shetani anaowatumia kufanya abomination hiyo.
 
Wewe ni product ya fake Evangelism.Mkuu hakuna "juu!" Kwa sababu tu Mitume walimuona Bwana Yesu akichukuliwa na mawingu.Ni uelewa wetu mdogo wa Universe ndio unaotufanya tudhani kwamba kuna "juu."

By the way sisi makao yetu ya kudumu ni duniani.Tutaishi na Kristo for a thousand years baada ya Lucifer kuwa bound,na baada ya kufunguliwa kwake na kutupwa kwenge Ziwa la Moto la Kiberiti forever in the New Jerusalem also here on Earth.But the New Jerusalem will only "descend" to earth from heaven after God has purified the earth.
We kweli umesoma maandiko vizuri
Mbinguni ni makao ya Mungu Wala sio ya wanadamu! Dunia iliumbwa kwa ajili ya wanadamu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom