Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,657
Reaction score
8,590

Attachments

  • Panyaa.jpg
    Panyaa.jpg
    9.9 KB · Views: 2,607
  • Panya.jpg
    Panya.jpg
    10.7 KB · Views: 2,763
Last edited by a moderator:
haha!ha!ha!hahahahahahaha Jipu ama kweli kua uyaone.

eti unafikiri wanaume kama hao wapambane na panya road.
 
Last edited by a moderator:
wedegereko wako wengi muno dar es salaam. hafu kwa nini wewe unapenda sana kuwatetea hata kama ni kweli.

naogopa kutekwa ningolewe kucha
si unakumbuka yule mdau alisema huku ndo kunaongoza kwa matajiri
 
naogopa kutekwa ningolewe kucha
si unakumbuka yule mdau alisema huku ndo kunaongoza kwa matajiri

Matajiri wa kunywa supu ya utumbo wa kuku na miguu, ndio matajiri wa aina gani hao Kuwahi kutokea duniani.
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh, ngoja na mimi nitajifunza kula hiki kitoweo
 
Kuanzia Nangurukuru, nakapanya, Masas, Nachingwea, Ruangwa, liwale wanagonga saana hiyo makitu yaan taamu kinooooma!!!!
 

mkuu mbona kuwashawish watu kula hiyo kitu nui simple tu.. fungua uzi andika hiyo ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume na inasaidia kubana papuchii.uta jinsi Chinga One atavyopata usumbufu hata wamasai watakula
 
Last edited by a moderator:
Walaji wa hivi vitu wamefuata mapendekezo ya WHO ya kuongeza ulaji wa proteni kwa wingi kujenga mwili.Hii samakinchanga ya ntwala ina proteni balaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom