Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

hao vidume wa mtwara wanafaa sana kuja dar kukabiliana na panya road

Yani hao panya road watabanikwa waliwe na chumvi...wawaulize panya buku serikali kilichotokea hadi Leo gesi haijatoka...
 
yani hao panya road watabanikwa waliwe na chumvi...wawaulize panya buku serikali kilichotokea hadi leo gesi haijatoka...

teh teh we mtoto wa kikorea umenichekesha aisee
 
teh teh we mtoto wa kikorea umenichekesha aisee

Kweli tena, wenyewe tunawaita makule, walewale, wai waida....ni shida yani...unawapata na ugali haooo....Baaaa....ni kuhondomola tuu...
 
Dar wako wengi tu tena barabarani, hadi watu wanawakimbia... panyaroad.
 
wedegereko wako wengi muno dar es salaam. hafu kwa nini wewe unapenda sana kuwatetea hata kama ni kweli.
We mnyamwezi taja vizuri majina ya bwana zako la sivyo ng'ombe wako utarudi nao shinyanga.
Ni Wandengereko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom