Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

Kama Wewe Hauli Wenzio Wanakula Tena Taaaaaaaaaaamu

huwa nachukua panya kuvimba vimba hiyo sehem ya haja kubwa....hebu cheki hapo...duuuh afu mtu wala
 
Hawa ni wa kitoweo hata mihogo sio yote inaliwa mingine ina sumu. Tuwaulize walaji wa kitoweo wanapatikanaje, sio kuanza kukimbizana ndani na paka kugombea wa daarini.Picha nzuri.
 
HARUFU.jpeg
 
haha!ha!ha!hahahahahahaha jipu ama kweli kua uyaone.

Eti unafikiri wanaume kama hao wapambane na panya road.

hao vidume wa mtwara wanafaa sana kuja dar kukabiliana na panya road
 
Last edited by a moderator:
Jipu ah hapana huwezi kunilisha....
 
Last edited by a moderator:
walaji wa hivi vitu wamefuata mapendekezo ya who ya kuongeza ulaji wa proteni kwa wingi kujenga mwili.hii samakinchanga ya ntwala ina proteni balaa!

ndo hapo sasa kumbe protein tunazo wenyewe majumbani kwetu
 
[quote=everlenk;chamaki nchanga kumbe ndo aka yake hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom