Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Kama Wazungu, UN mpaka IMF, Benki ya Dunia wote walishindwa kuitoa ZANU-PF madarakani pamoja na kampeni tena siyo za kinchi bali za Kimataifa za kutaka kumpa Tsvangirai nchi lakini wote hao walishindwa kuitoa ZANU-PF ambayo ni clone ya CCM itakuwa Lowassa na baadhi ya Wafanyabiashara tena ambao wanaitegema Serikali hiyo hiyo ili waishi?
Tafakarini hilo! Zimbabwe jeshi lilisema wakati wa Uchaguzi hata kama Tsvangirai angeshinda lisingemtambua, sasa kama hizo nguvu zote zilishindwa ni nini kinawaminisha kwamba Lowasa anaweza kuiondoa CCM madarakani mtu ambaye tayari ana masoo kibao ni swala la kuyafungua tu kuanzia ununuzi wa Nyumba ya mamilioni kwa mwanaye London n.k endeleeni tu kuota na kujidanganya!