Kama Wazungu walishindwa Itakuwa Lowassa?

Kama Wazungu walishindwa Itakuwa Lowassa?

Hahahahaha.

Kenya ni nani anaeshika madaraka?

Huijuwi siasa ya Kenya.

Lowasa analiwa tu fedha yake na Mbowe, hakuna zaidi.

Safari hii ni lazima umpigie kura kafiir, UKAWA mkristo na ccm mkristo. Mtajibeba mwaka huu
 
mkoloni ccm atatolewa kwa kura za raia wema... na sio lowasa!!

nani amekwambia lowasa amependekezwa na ukawa kuwa rais?
 
Barbarosa

Du! Kwa hiyo unatuambia kwa vile ZANU-PF ni clone ya CCM basi kilichotekea Zim lazima kitokee Tanzania? Profound Logic!
 
Last edited by a moderator:
Barbarosa

Masoo wote wanayo kwaani:-
Je, wakati fedha za Mkonge kupitia
mfanyabiashara aitwaye CHAVDA
zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri
mkuu? Alikuwa malecela!. - Madini ya
dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa
ndege wakati wa Rais Mwinyi
yalikuwa ni madini ya Lowassa? -
Wakati Akasha wa dawa za kulevya
anakamatwa na kutoroshwa
aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu
alikuwa Malecela. - Mrema alipolipua
bomu la mwenyekiti wa CCM
kuhongwa milioni 900 za minofu ya
samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri
mkuu alikuwa Sumaye . - Kashfa ya
sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri
mkuu alikuwa Sumaye. - Kashfa ya
Loliondo gate 1992 ya mtoto wa
mfalme wa Kuwait alikuwa ni
Lowassa? Kinana na Abubakar
Mgumia walihusika. - Wanyama hai
kutoroshwa nje ya nchi alikuwa
Lowassa? Waziri mkuu Pinda. - EPA
aliyeidhinisha fedha zichukuliwe
alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula
wanajua. - NBC Bank kuuzwa alikuwa
Lowasa? Mkapa na Sumaye
wanahusika. - Kiwira alikuwa
Lowassa? Mkapa na Sumaye
wanahusika. - Rada na ndege ya rais
alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na
Dr. Rashid walihusika. - Mkataba wa
Buzwagi alikuwa Lowassa?
Karamagi,Kikwete na Mwakapugi
walihusika. - Stimulus package ya
wakulima wa pamba baada ya
Mdororo wa uchumi duniani alikuwa
Lowassa? Kigwangala na Kikwete
wanajua. - Fedha za Bunge la Katiba
zilizobaki baada ya UKAWA kususia
Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa
Lowasa? Sitta, Samia suluhu
wanahusika. -Bilioni 250 zilizolipwa
wakandarasi hewa wa ujenzi wa
barabara alikuwa Lowassa? Magufuri
na Tizeba wanahusika. - TTCL
Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel
alikuwa ni Lowassa? Mwandosya
analo jibu. - Mabehewa mitumba
zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa?
Mwakyembe anahusika. - Kashfa za
pembejeo za wakulima alikuwa ni
Lowassa? Wassira na Pinda
wanahusika. - Fedha za Gadaffi
alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni
Membe. - Ununuzi wa nyumba ya
Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni
Lowassa? Kikwete na Mahalu
wanahusika. - Escrow tegeta account
alikuwa ni Lowassa? Kikwete,
Muhongo, Maswi, Albert Marwa
wanahusika. - Mradi wa malaria no
more alikuwa ni Lowassa? January
Makamba mhusika.
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada cjui kala maharagwe ya wap!
 
Masoo wote wanayo kwaani:-
Je, wakati fedha za Mkonge kupitia
mfanyabiashara aitwaye CHAVDA
zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri
mkuu? Alikuwa malecela!. - Madini ya
dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa
ndege wakati wa Rais Mwinyi
yalikuwa ni madini ya Lowassa? -
Wakati Akasha wa dawa za kulevya
anakamatwa na kutoroshwa
aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu
alikuwa Malecela. - Mrema alipolipua
bomu la mwenyekiti wa CCM
kuhongwa milioni 900 za minofu ya
samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri
mkuu alikuwa Sumaye . - Kashfa ya
sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri
mkuu alikuwa Sumaye. - Kashfa ya
Loliondo gate 1992 ya mtoto wa
mfalme wa Kuwait alikuwa ni
Lowassa? Kinana na Abubakar
Mgumia walihusika. - Wanyama hai
kutoroshwa nje ya nchi alikuwa
Lowassa? Waziri mkuu Pinda. - EPA
aliyeidhinisha fedha zichukuliwe
alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula
wanajua. - NBC Bank kuuzwa alikuwa
Lowasa? Mkapa na Sumaye
wanahusika. - Kiwira alikuwa
Lowassa? Mkapa na Sumaye
wanahusika. - Rada na ndege ya rais
alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na
Dr. Rashid walihusika. - Mkataba wa
Buzwagi alikuwa Lowassa?
Karamagi,Kikwete na Mwakapugi
walihusika. - Stimulus package ya
wakulima wa pamba baada ya
Mdororo wa uchumi duniani alikuwa
Lowassa? Kigwangala na Kikwete
wanajua. - Fedha za Bunge la Katiba
zilizobaki baada ya UKAWA kususia
Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa
Lowasa? Sitta, Samia suluhu
wanahusika. -Bilioni 250 zilizolipwa
wakandarasi hewa wa ujenzi wa
barabara alikuwa Lowassa? Magufuri
na Tizeba wanahusika. - TTCL
Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel
alikuwa ni Lowassa? Mwandosya
analo jibu. - Mabehewa mitumba
zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa?
Mwakyembe anahusika. - Kashfa za
pembejeo za wakulima alikuwa ni
Lowassa? Wassira na Pinda
wanahusika. - Fedha za Gadaffi
alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni
Membe. - Ununuzi wa nyumba ya
Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni
Lowassa? Kikwete na Mahalu
wanahusika. - Escrow tegeta account
alikuwa ni Lowassa? Kikwete,
Muhongo, Maswi, Albert Marwa
wanahusika. - Mradi wa malaria no
more alikuwa ni Lowassa? January
Makamba mhusika.


Hata Yona na Mramba wanaweza kuandika na kusema yote hayo tena na zaidi, swali hapa ni nani hata atasikiliza hivi ninavyoandika wako Lupango!
 
Barbarosa

Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo na mtindio wa ubongo,pole sana kwa fikra zako mgando,keep dreaming...
 
Last edited by a moderator:
Kwanza,Kumbuka wazimbabwe wengi wanamheshimu Robert Mugabe kama Baba wa Taifa lao sawa na Tanzania wanavyomheshimu Nyerere.Pili,Mugabe anawatetea wananchi wake waweze kupata ardhi yao kutoka kwa Wazungu,Tanzania CCM haitetei Mwananchi kwa Lolote zaidi ya Kugawa Raslimali yetu kwa Wachina na Wazungu na kumfanya Mtanzania awe Mtumwa katika Nchi yao.CCM ya sasa haina hadhi ya kujilinganisha na Mugabe hata kidogo.

Sidhani kama hilo lijinga limekuelewa vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom