Jovin john
Member
- Oct 13, 2020
- 14
- 3
Kama ilivyoelezwa Mimi naelekea kuhitimu bachelor yangu katika chuo cha kumbukumbu cha mwalimu Nyerere this year 2022 . Kama wazoefu naombeni ushauri wenu niingie mtaani na fikra gan kulingana na soko la ajira ? .