Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,708
- 1,553
Mi ile huwa sitaki hata kuiona.kuna watu mpk leo wanaamini mieleka ni kweli asilimia 100
Ile ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vilekuna watu mpk leo wanaamini mieleka ni kweli asilimia 100
Mbona wanaumia sana tu john cena mwenyew alipigwa mpaka akavunjwa mgongo akawekewa vichuma sema ngumi wamepewa restriction ndo mana unaona wanapigia kwenye vidole hawapigi ngumi za mchezo wa boxerMi ile huwa sitaki hata kuiona.
Haiwezekani mwanadamu akafanyiwa vile na asiumie au asife.
Hata action movies sizitaki kabisa.
Ndio mana wanatoa tahadhari [PLEASE DON'T TRY THIS AT HOME] ila nilisikia hata kuna dawa wanamezaMbona wanaumia sana tu john cena mwenyew alipigwa mpaka akavunjwa mgongo akawekewa vichuma sema ngumi wamepewa restriction ndo mana unaona wanapigia kwenye vidole
Ndio mana wanatoa tahadhari [PLEASE DON'T TRY THIS AT HOME] ila nilisikia hata kuna dawa wanameza
Ile ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vile
ooohooo kwaio na ww ni mmoja waoo? Kwa taarifa yako kwenye wrestle only physicality is real, actions are scripted, Pamoja na kwamba kwa akili ya kawaida tuu unajua km si kweli ila mmiliki mwenyewe Mr Vince McMahon alikili huu utata, na kama ulikua hujui yule refa unaemuona pale ulingoni hayupo kusimamia mech bali ni kuelekeza cha kufanya na km hujui mda wote hua anaongea, na bingwa anakua ashajulikanaIle ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vile
Ile ni kweli mkuu japo watu wengine wanasema ni maigizo lile ni tamasha la live mkuu igizo gani mtu anapanda juu ya kamba anamrukia aliyepo chini uwezi ukaigiza vile
Ya katika mieleka mshindi anakuwa anajulikana kabla hata hawajapanda ulingoni na wanaopigana unakuta wanamjua, kuna moja mieangalia ya Monday Night Raw, jamaa karuka kumpiga ngumi mwenzie hata haijampata lakini akajifanya kudondokaooohooo kwaio na ww ni mmoja waoo? Kwa taarifa yako kwenye wrestle only physicality is real, actions are scripted, Pamoja na kwamba kwa akili ya kawaida tuu unajua km si kweli ila mmiliki mwenyewe Mr Vince McMahon alikili huu utata, na kama ulikua hujui yule refa unaemuona pale ulingoni hayupo kusimamia mech bali ni kuelekeza cha kufanya na km hujui mda wote hua anaongea, na bingwa anakua ashajulikana
Huna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.
ebanaeee ...mie mmojawapo arifu!hebu nidadavulie kidogokuna watu mpk leo wanaamini mieleka ni kweli asilimia 100
Naona asubuhi asubuhi mmecharuka kumtetea msinzi Gwajima! Ile clip ni ya kweli kabisa na imemuumbua na kadiri anavyowatuma kumtetea ndivyo anavyozidi kujiumbuaHuna la kujifunza hapa? Hii ndo sababu kuna nchi zimepiga marufuku ushahidi wa picha na Video maana Hakuna kisichowezekana kutengenezeka humo. Siwaaminishi Muamini kuwa si yeye ila nawakumbusha wale wanaoona haiwezekani kuwa inawezekana kabisa kufanya editing mara 1000 ya vile.
Mieleka kuna asilimia kama 20 ni maigizo huwa naingalia kila wiki, sema wanaorecord na kuturushia huwa kuna delay ya dk kadhaa ingawa wewe unaona kama ni Live lakini siyo live kama ilivyo kwenye sports. Na ujue tu mieleka ni entertainment na siyo sports tofautisha hayo maneno 2
kama asilimia 20 tu ni maigizo hii inatosha kabisa kuamini watu wanapigana realooohooo kwaio na ww ni mmoja waoo? Kwa taarifa yako kwenye wrestle only physicality is real, actions are scripted, Pamoja na kwamba kwa akili ya kawaida tuu unajua km si kweli ila mmiliki mwenyewe Mr Vince McMahon alikili huu utata, na kama ulikua hujui yule refa unaemuona pale ulingoni hayupo kusimamia mech bali ni kuelekeza cha kufanya na km hujui mda wote hua anaongea, na bingwa anakua ashajulikana