Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,263
- 4,471
Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini?
Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea.
Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya
Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu taifa.
Kamati KUU TAIFA isizinyime furaha na uhitaji walionao kamati za wilaya na mkoa