Kama wanaojitokeza kujiandikisha ndo hawa wapinzani 2020 mtafute kazi nyingine ya kufanya

Baba wa taifa alipata kutamka kuwa hawezi kukaa kimya na kuruhusu nchi yake iharibike (alitumia kizungu, "go to the dogs"). Nchi hii inayo waasisi wake na siamini kuwa wamekubali mia kwa mia kuwa nchi yao iende gehanna mbele ya macho yao. Sitaki kuamini. Kwa falsafa ya Mwalimu, kufifisha demokrasia ya ushindani nchini ni uhaini mkubwa. Kimya kingi kina mshindo mkuu. Kati ya sasa na Oktoba 2020 lolote laweza kutokea na kubadilisha mwelekeo huu wa upepo.
 
2020 wapinzani watapiga kura wengi kuliko wakati wowote...CCM wakiiba mabeberu wanaingilia kati panachimbika kama Côte d'Ivoire
 
Kwa hiii idadi ya ndogo wananchi waliojitokeza kujiandikisha kupiga
Uchaguzi sirikali za mitaaa 2019 kama
Hali yenyewe ndo hiii basi 2020 wapinzani na wawakilishi watafute kazi nyingine ya kufanya sio tena ubunge.

Kwa maana hakuna mbunge hata mmoja
Diwani mmoja atayerudi bungeni kwa kifupi hakuna eneo lolote ambalo wapinzani watapata mwakilishiiiii inauma sana lakini inabidi mkubaliiiii
Wakijitokeza watu watatu, atakaye pata udiwani au ubunge nibyule mwenye kura mbili.
 
Back
Top Bottom