Kama wanaojitokeza kujiandikisha ndo hawa wapinzani 2020 mtafute kazi nyingine ya kufanya

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,475
2,000
Kwa hiii idadi ya ndogo wananchi waliojitokeza kujiandikisha kupiga
Uchaguzi sirikali za mitaaa 2019 kama
Hali yenyewe ndo hiii basi 2020 wapinzani na wawakilishi watafute kazi nyingine ya kufanya sio tena ubunge.

Kwa maana hakuna mbunge hata mmoja
Diwani mmoja atayerudi bungeni kwa kifupi hakuna eneo lolote ambalo wapinzani watapata mwakilishiiiii inauma sana lakini inabidi mkubaliiiii
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,195
2,000
Hata wangejitokeza wengi pia ni kupiga upepo rangi, kwa hiyo wajitokeze ama wasijitokeze hakuna jipya, kwani unafikiri Watanzania wajinga? Wanajielewa tena sana tu, hawadanganyiki, na hakuna aliyetayari kupoteza mda wake wa bure.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,275
2,000
Sawa, lakini mbona wa sisiem pia hawaonekani maana wao miaka 4 wanajimwambafai tu.....
Siasa haziendi hivi....
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,250
2,000
Kwa hiyo wa CCM wenyewe watapataje sasa? Au umeongea kwa ujinga wako wa akili.
Kwa hiii idadi ya ndogo wananchi waliojitokeza kujiandikisha kupiga
Uchaguzi sirikali za mitaaa 2019 kama
Hali yenyewe ndo hiii basi 2020 wapinzani na wawakilishi watafute kazi nyingine ya kufanya sio tena ubunge.

Kwa maana hakuna mbunge hata mmoja
Diwani mmoja atayerudi bungeni kwa kifupi hakuna eneo lolote ambalo wapinzani watapata mwakilishiiiii inauma sana lakini inabidi mkubaliiiii
 
touch on

Senior Member
Oct 8, 2019
144
250

Tushawaachia watawale milele na malaika wao awe raisi milele maana hata tukijiandikisha hakuna lolote
 
MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,475
2,000
Nawashangaa nyumbu wanaoshangilia idadi ndogo ya walojiandikisha
Hawajui kama Hali hiii ikiendeleaaa hivi
Ifikapo 2020

1.chadema,cuf,act watakosa wawakilishi

2.mbowe,mnyika,lisu,halima mdee, sugu, lema na wengineo hawatakuwa tena wabunge wa upinzani laa hasha wahamie ccm.

3.vyama vitakosa ruzuku
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
14,921
2,000
Hawajui kama Hali hiii ikiendeleaaa hivi
Ifikapo 2020
1.chadema,cuf,act watakosa wawakilishi
2.mbowe,mnyika,lisu,halima mdee, sugu, lema na wengineo hawatakuwa tena wabunge wa upinzani laa hasha wahamie ccm.
3.vyama vitakosa ruzuku
Kwani wasipokwepo CDM au CUF Kuna shida gani.Tumekubali ibaki CCM pekee yake
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,136
2,000
Kwa hiii idadi ya ndogo wananchi waliojitokeza kujiandikisha kupiga
Uchaguzi sirikali za mitaaa 2019 kama
Hali yenyewe ndo hiii basi 2020 wapinzani na wawakilishi watafute kazi nyingine ya kufanya sio tena ubunge.

Kwa maana hakuna mbunge hata mmoja
Diwani mmoja atayerudi bungeni kwa kifupi hakuna eneo lolote ambalo wapinzani watapata mwakilishiiiii inauma sana lakini inabidi mkubaliiiii
Sasa wapinzani wenyewe hawa wanaojiuza baada ya kuchaguliwa?!......ni bora kuichagua CCM moja kwa moja!
 
FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
1,530
2,000
Upinzani hawana cha kupoteza.Wameteseka vyakutosha.Nadhan baadae dose itakolea kwa wa tz wote,ndio akili za kudai haki zitaamka kwa wote.
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,062
2,000
Kwa hiii idadi ya ndogo wananchi waliojitokeza kujiandikisha kupiga
Uchaguzi sirikali za mitaaa 2019 kama
Hali yenyewe ndo hiii basi 2020 wapinzani na wawakilishi watafute kazi nyingine ya kufanya sio tena ubunge.

Kwa maana hakuna mbunge hata mmoja
Diwani mmoja atayerudi bungeni kwa kifupi hakuna eneo lolote ambalo wapinzani watapata mwakilishiiiii inauma sana lakini inabidi mkubaliiiii
Hao wanachama million 8 wa ccm mbona nao hawaonekani? Ujinga unakusumbua
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,062
2,000
Hawajui kama Hali hiii ikiendeleaaa hivi
Ifikapo 2020

1.chadema,cuf,act watakosa wawakilishi

2.mbowe,mnyika,lisu,halima mdee, sugu, lema na wengineo hawatakuwa tena wabunge wa upinzani laa hasha wahamie ccm.

3.vyama vitakosa ruzuku
Pumba tu
 
Top Bottom