Hakuna watu niaowashangaa kama wewe mawazo kama yako. Yaani mlitegemea Spika bora toka Bunge bovu kama hili lililopo?Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu
Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo
Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi
Na baada ya hapo atapata kura zote za hao hao kwa sababu ndio hao hao.Atapata kura zote za wabunge wa CCM.
Amandla...
Waliliona hilo ndiyo maana wamepelekewa jina moja tu ..... TULIA!!Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.
Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.
Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Tunasubiri wabunge wastaafu walio wajanja wa CHADEMA waanze kwanza kumwambia Mbowe HAPANA.Hajazaliwa kwa aina iliyopo pale mjengoni
Sio nchi zinazotuzunguka tu, bunge la sasa la Tanzania ni la hovyo kuliko mabunge yote ulimwenguni na peponi.Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa wabunge PESA NA POSHO WA CCM hawafikirii kabisa uendeshaji wa nchi, wao wanafikiria posho na mishahara siku ziende kila vikao sasa hivi hawatoki na cha maana zaidi ya kujikusanyia pesa zetu.
Kwa hili la kupewa tena TULIA SEMENI HAPANA ili Kama mmeshindwa mengine mlinde heshima zenu angalau kwa hili dogo.
Tulia hafai acheni kuburuzwa chagueni kwa Uhuru Kiongozi wenu tuone angalau demokrasia kidogo bungeni mmekuwa kila kitu ndiooooo jitambueni hata kwa hili basi.
Yule jamaa yako wa Chadema , kakubali kulea ile mimba yako ?Chadema kweli mmepagawa
Huu ujinga wote umeasisiwa na magufuliMwaka 2030 huenda jina la mgombea urais likapatikana kwa mtindo huu huu. Mbeleni demokrasia itakuwa finyu zaidi kuliko tulikotoka.
Pole sana, matusi ndiyo mnaweza
Nioneshe tusi hata moja tu katika swali languPole sana, matusi ndiyo mnaweza