Kama Waarabu wanawafukuza Waisraeli watoke Palestina na sisi Waafrika tuwatimue Waarabu kwenye nchi zetu?

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,218
4,634
Waarabu walitoka kwao Uarabuni wakavamia Ardhi zetu za bara la Afrika nchi za Africa kaskazini ziwe Moroco, Algeria, Libya, Misri, nk, na wanakalia ardhi hizo Kwa nguvu ambazo ni ardhi za waafrika weusi.

Kama Waarabu wanafukuza Israel watoke Palestina na sisi Waafrika tuwatimue waarabu Afrika kaskazini na nchi zetu maeneo ambayo sio Yao walivamia? wanazokalia kwa nguvu waende kwao uarabuni watuachie ardhi yetu kama Wapalestina wanavyotaka na wao?
 
Morocco, algeria, Libya wameaza lini kuwa waarab? Hebu fanya utafiti kwanza. Hao sio waarabu
Kwanza unajua kuhusu races?
Usitudanganye kua toka enzi za wagiriki na wamoor na warumi na wacoptic,s..kua hawakuwahi kuvamiwa na waarabu na himaya zao kupotezwa kuanzia granada mpaka Alexandaria.
Ila granada wahispaniola waliwezs kuirudisha......lakini wagiriki walifeli kwa Minor Asia....
 
Waarabu walitoka kwao Uarabuni wakavamia Ardhi zetu za bara la Afrika nchi za Africa kaskazini ziwe Moroco,Algeria,Libya,Misri ,nk
Na wanakalia ardhi hizo Kwa nguvu ambazo ni ardhi za waafrika weusi

Kama waarabu wanafukuza Israel watoke Palestina na sisi waafrika tuwatimue waarabu Afrika kaskazini nchi wanazokalia Kwa nguvu waende kwao uarabuni watuachie ardhi yetu kama wapalestina wanavyotaka na wao?
Hata Uingereza watu wa kwanza kuishi kule kabla ya wazungu waliishi watu wenye rangi ya ngozi kama sisi huku Africa !!
Na inasemekana watu wote Duniani asili yao walianzia huku Africa !!

Olduvai gorge binadamu wa kwanza aliishi pale 😂😂🙏🙏
 
Waarabu walitoka kwao Uarabuni wakavamia Ardhi zetu za bara la Afrika nchi za Africa kaskazini ziwe Moroco, Algeria, Libya, Misri, nk, na wanakalia ardhi hizo Kwa nguvu ambazo ni ardhi za waafrika weusi.

Kama Waarabu wanafukuza Israel watoke Palestina na sisi Waafrika tuwatimue waarabu Afrika kaskazini nchi wanazokalia kwa nguvu waende kwao uarabuni watuachie ardhi yetu kama Wapalestina wanavyotaka na wao?
Asante sana kwa kutupatia uzi wa kipumbavu wa kufungia mwaka
 
Sasa waafrika wao waliondolewa na waarabu na wamoor,s...kule kaskazini
Waarabu ndio wanazidai hizo melila na ceuta....kwa sasa
Kumbuka waarabu sio waafrika....wenyewe waga wanaambiana hivyo kiuwazi uwazi......mwafrika ni mtu mweusi
Nchi hizo za Afrika kaskazini za kiarabu Huwa hawajioni kama waafrika wako kwenye jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaani Arab league
 
Inasemekana..hakuna ushahidi....ila waafrika ushahidi wa kuwepo kaskazini upo
Lakini pia waarabu sio kwamba hawawataki Waisraeli waishi pale bali wao wanataka liundwe Taifa lao la Palestina iliyo huru na mji wake mkuu Jerusalem ya mashariki kama ilivyokuwa zamani kabla ya Israel kuiteka hiyo Jerusalem ya mashariki kwenye vita vya 1967 .
Israel hawataki kuiachia Jerusalem ya mashariki !!
 
Back
Top Bottom