Kama vya yule nanihii

Asante kwa kutuwekea vidole vya wifi yetu, taratibu kuna siku utaweka sura nzima.
Kushika mafiga muda mrefu, mlozi akienda kuloga mke anashikishwa mafiga
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
BANDIA...kucha bandia,nywele bandia,makalio bandia,mwendo bandia,kufika kilele bandia,tabasamu bandia,kicheko bandia,uaminifu bandia,vipodozi bandia.....yani n mwendo wa BANDIA
Dah...ongeza sauti bandia...bajeti bandia.....halafu utasikia wanataka mwanaume wa ukweli[emoji13] [emoji13]
 
Inabidi wasome saikolojia ya wanaume sijui nani aliwaambia tunavutiwa na hayo mazagazaga wanaboa,wengine naonaga kama vicheche sana hata kama hawako ivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…