Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
hana haja ya kuchanganyikiwa yeye mzuri na wanaume kibao wapo kwa majivuno yake yanavyomtuma.....hongera kwa kaka kwa maamuzi aliyotoa huyo dada angemsumbua sana kwenye ndoa mungu amemwonyesha mapema azidii kumwomba mungu ampe mke mwema