farryandy
Member
- Jun 27, 2012
- 55
- 28
zitazamwe faida na hasara za muungano kiundani... tusikae kung'ang'ania muungano kama pambo la kihistoria ambalo halitunufaishi kwa vyovyote wala kwa lolote... ni uupuzi... kama muungano wenyewe ndo malumbano kila siku... tuufutilie mbali kwasababu hasara zinakuwa nyingi kuliko faida. hat mke akizingua talaka ruksa.