Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 48
- 144
Joto huku kali mno mm huku na lalaga pichu maana hii joto itanipa fungus kwenye maeneo.hapa ukijifunika tuh na blanket unaloa jasho sembuse ukilala na nguo.
Sawasawa.Ila,kama una kawaida ya kulala na kuota ndoto hadi kutembea/kutoka nje ya nyumba basi kazi unayo.Utajikuta unapanda SGR huku haujavaa hata kimwanandani na ungali umepiga mboji.Joto huku kali mno mm huku na lalaga pichu maana hii joto itanipa fungus kwenye maeneo.hapa ukijifunika tuh na blanket unaloa jasho sembuse ukilala na nguo.
ok.Joto huku kali mno mm huku na lalaga pichu maana hii joto itanipa fungus kwenye maeneo.hapa ukijifunika tuh na blanket unaloa jasho sembuse ukilala na nguo.