Nimetoka kuongea na Customer care Tanesco (kwa simu namba 0732 979280) kuhusu mgao mpya wa umeme cha kusikitisha jamaa anaongea huku akicheka kuwa sehemu kubwa ya Arusha haitakuwa na umeme kabisa mchana kwa majuma kadhaa..(sishangai kwani sakina kuanznia j'pili hatuna umeme) nilipomuuuliza mpaka lini akasema Mungu ndo anajua....sasa najiuliza hilo jibu maana yake ni nini wakati rais ni juzi ameingiza kampuni ya Kimarekani kuzalisha umeme....au ile kampuni ni kanyaboya wahusika wanaendelea na ishu nyingine? Jamani tutaishije tunaochomelea....wafugaji wa kuku...wauza samaki wabichi.....internet cafe......saloon sawmill mashine za kusaga.....hii mbona ni kama kukomoana?
wanasema kisa ni Arusha kuchagua Chadema.Tunakomolewa.
wanasema kisa ni Arusha kuchagua Chadema.Tunakomolewa.
angalau wange toa taarifa basi tujue kutakuwa na mgao mpaka lini...Sasa kama hoja ni hiyo, vipi Tengeru Usa mpaka Kikatiti nao walimchagua Lema?
Hivi hakuna sheria ya kuwadai fidia Tanesco kwa kosa la kuzima umeme makusudi?
Ndg zangu hakika umeme ni kero hasa huku kwe2 lain ya Sakina tangu cjui ni lini hakuna wakati 2mepata masaa 10 mfululizo umeme. Yani hawa jamaa wa Tanesco wana madharau ya hasara. Yani wana2ladhimisha kwenda kununua jenereta ya kichina sasa. Kweli umeme ni kero haswa lain ye2 ya Sakina.
Tanesco Arusha sasa mnaharibu na
kuua uchumi wa watu maana sasa mmegeuka
wanasiasa na sio wafanyabiashara umeme
Haukatiki kwa sababu kuna hitlafu mahali
ni siasa za kipumbavu tu natoa wito kwa Wana Arusha wote tuamke sasa tudai haki zetu hata kwa maandamano umeme
ni haki yetu sote kwanini baadhi ya maeneo haukatiki uzunguni line za jeshi na ikulu ndogo viwanda vya waasia hawakati watanzania wanateseka kwenye nchi Yao wenyewe kuna siku Arusha itaamka na kusema basi.
Nimetoka kuongea na Customer care Tanesco (kwa simu namba 0732 979280) kuhusu mgao mpya wa umeme cha kusikitisha jamaa anaongea huku akicheka kuwa sehemu kubwa ya Arusha haitakuwa na umeme kabisa mchana kwa majuma kadhaa..(sishangai kwani sakina kuanznia j'pili hatuna umeme) nilipomuuuliza mpaka lini akasema Mungu ndo anajua....sasa najiuliza hilo jibu maana yake ni nini wakati rais ni juzi ameingiza kampuni ya Kimarekani kuzalisha umeme....au ile kampuni ni kanyaboya wahusika wanaendelea na ishu nyingine? Jamani tutaishije tunaochomelea....wafugaji wa kuku...wauza samaki wabichi.....internet cafe......saloon sawmill mashine za kusaga.....hii mbona ni kama kukomoana?
Kwa sasa mlie tu maana hamna kiongozi anayeweza kuwatetea, kipindi cha nyuma Mzee mzima angeshawapigia simu maana hakuwa anataka ishu za kijinga, lazima angemuita meneja Dodoma aeleze mgao unatokana na nini?Nimetoka kuongea na Customer care Tanesco (kwa simu namba 0732 979280) kuhusu mgao mpya wa umeme cha kusikitisha jamaa anaongea huku akicheka kuwa sehemu kubwa ya Arusha haitakuwa na umeme kabisa mchana kwa majuma kadhaa..(sishangai kwani sakina kuanznia j'pili hatuna umeme) nilipomuuuliza mpaka lini akasema Mungu ndo anajua....sasa najiuliza hilo jibu maana yake ni nini wakati rais ni juzi ameingiza kampuni ya Kimarekani kuzalisha umeme....au ile kampuni ni kanyaboya wahusika wanaendelea na ishu nyingine? Jamani tutaishije tunaochomelea....wafugaji wa kuku...wauza samaki wabichi.....internet cafe......saloon sawmill mashine za kusaga.....hii mbona ni kama kukomoana?
Mkuu hiyo generator mafuta utaweka ya sh.ngapi na kazi inaingiza sh.ngapi...... mafuta ndi hayo 2100 per lt sasa si utakuwa unawafanyia wauza mafuta kazi....
Nadhani sasa hivi vibaka wa Arusha wataneemeka sana kipindi hiki.Sipati picha hapo Unga ltd na giza totoro jinsi panavyochimbika! Ngoja niwasiliane na Mganga mkuu wa Mt.Meru waongeze idadi ya nyuzi za kushonea majeraha maana vibaka wa Arusha bila kumwaga damu bado hawajakuibia.