Kama ungekuwa wewe ungemsaidiaje?

Kama ungekuwa wewe ungemsaidiaje?

Wangu

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Mchungaji alikuwa anawafundisha vijana somo la upendo na kusisitiza "PENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA". Baada ya mwezi mmoja, kijana mmoja akamwendea Mchungaji na kumwambia, "MCHUNGAJI, SOMO LAKO LILIELEWEKA, NILIMPENDA MSICHANA MMOJA, AMEPATA MIMBA, SASA NIFANYAJE?
 
si aitunze hiyo mimba na mtoto naye aje kuijaza dunia
 
Huyo msichana angekuwa binti ya mchungaji ndipo jibu lingekuwa jema
 
Back
Top Bottom